Mr_X
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 1,170
- 2,337
Tukianza ku list hapa za DSM proposed itakuwa balaaProposed or construction?? Make it clearmanake kwa proposed tu hamujambo


Tukianza ku list hapa za DSM proposed itakuwa balaaProposed or construction?? Make it clearmanake kwa proposed tu hamujambo


waache stand ikamilike wanakimbilia wapi hawa watu!!
Hata expressway na commuter rail zilikuwa proposed saa hii ni reality bado mnabishaProposed or construction?? Make it clear😂😂😂 manake kwa proposed tu hamujambo
Facts from africaLeo wamesusa, ile report ya better public transport na best destination in the world imewaumiza sn so tutegemee kuwakosa kwa mwezi huu cz bado wanauguza kidonda![]()



Good for you Kenya doesn't need suchwanasema hawaoni umuhimu wa kujenga stendi kama hizi.. wakat hapa mtu anaweza akaanza na biashara ya mtaji wa million moja.. baada ya mwaka akawa na mtaji wa million ishirini then akaenda kuongeza biashara nyingine sehem nyingine yake mwenyewe
View attachment 1634624
Wabongo kwa longo longo tuJana kuna mama mmoja toka mombasa alikua anasema 1kg ya nyama kenya ni 500 . Nilikua nashang'aa mbona hela ya kenya kwenye purchasing power haina kitu kushinda ya Tanzania? 500 ya kenya bongo unapata nyama 1kg na mchele 1kg na chenji inabaki



Mpuuzi huyoKwani ng'ombe za Mombasa wana nyama ya Gold,hapa Nairobi 1kg ni ksh 380


Sikusema mimi alisema mama tena kavaa majuba labda kaongopa yeye. Pia ukibisha jambo weka ukweli wake. Sio kupisha bila factWabongo kwa longo longo tu
Hta naivas mombasa nyama haiuzwi ki hvo..
Hahahaa!!yani inakujaje kwanza mwanaume mzima unaanza kuongelea story za bei ya nyama mombasaSikusema mimi alisema mama tena kavaa majuba labda kaongopa yeye. Pia ukibisha jambo weka ukweli wake. Sio kupisha bila fact




....Ni suala la muda tu Tuanze kutumia treni ya umeme alafu watuambie wao itakua liniKwhyo bongo interchange zimejaa kinyama sio..asante kw kumuwakilisha jiweKwa watz wenzangu mnaokumbuka mwaka juzi 2018 tulitukanwa hapa na hawa majirani kwamba tunawezaje compete nao wakati hatuna walau Flyover?Hatuna walau highway hata moja na ka interchange hivi....Sasa Hv wamehamisha Goli kwenye idadi ya masikini Kua nani anamzigo mkubwa....Ni suala la muda tu Tuanze kutumia treni ya umeme alafu watuambie wao itakua lini
So start construction first tujue munajenga basiHata expressway na commuter rail zilikuwa proposed saa hii ni reality bado mnabisha
Treni ya umeme wataisikia miaka 50 inayo 😂😂😂😂 siku hzi hawana raha humu ndaniKwa watz wenzangu mnaokumbuka mwaka juzi 2018 tulitukanwa hapa na hawa majirani kwamba tunawezaje compete nao wakati hatuna walau Flyover?Hatuna walau highway hata moja na ka interchange hivi....Sasa Hv wamehamisha Goli kwenye idadi ya masikini Kua nani anamzigo mkubwa....Ni suala la muda tu Tuanze kutumia treni ya umeme alafu watuambie wao itakua lini
Sikieni huu kunguni 😂😂😂Good for you Kenya doesn't need such
Treni za umeme zioi hzoTreni ya umeme wataisikia miaka 50 inayosiku hzi hawana raha humu ndani

