Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cow shed 🤣
Hasira juu😀😀😀
C4093EBF-8D11-4F8E-AA47-D7B77F45983C.jpeg
5E84CF53-F6C3-4B83-B5F9-2EF0729B3F45.jpeg
66466BD3-FE20-4134-8B20-1B1AB0AF0895.jpeg
 
Hela ya kulipa iko wapi mzee 600ksh per car iko wapi kwa uchumi gani mliokua nao leo 😂😂😂😂😂 yatarudi yale yale ya SGR
Kama watanzania ni maskini kla mtu c maskini 😂😂😂😂umeskia 600ksh ni pesa kidogo sanaa kwa mkenya anayemiliki gari
 
Naona ujinga yako inakudanganya charges itakuwa 600bob. Hii ndio maana nasema unaumwa na hiyo project, charges za expressway itaanzia 150 bob up to 300 depending on the weight of your vehicle.
Hata ikiwa 600 mkenya anayemiliki gari haiwezi mshinda
 
wakenya ni vitu gani mnakubali kuwa Tanzania tumewapita au tunafanya vizuri zaidi yenu? mim kwenu mfano moja naona banks zenu zinajitahidi sana kuliko zetu

leo tujadili hili swala.. kama una mawazo tofauti leta hoja 🕺🏽
 
Back
Top Bottom