Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
ππππππππππSura za wakenya kama jiko la mkaaView attachment 1630719View attachment 1630720View attachment 1630721
ππππππππππSura za wakenya kama jiko la mkaaView attachment 1630719View attachment 1630720View attachment 1630721
jeshi la kuiba mikate na sugar kwenye market ........But KDF is powerful than TDF
![]()
10 Most Powerful Militaries In Africa | Africa Facts
Which countries have the strongest Military in Africa in 2017? African countries have been seriously challenged in 2016 with increasing terrorist activity (AQMI, Al-Shabab, ISIS, Boko Haram..) and more and more civil unrest (Central African Republic, Libya..). Things have changed a lot in the...africa-facts.org
![]()
Africaβs 2020 military power ranking (GFP)
Global Fire Power (GFP) has unveiled its 2020 Global Power index which ranks countries in the world based on their military forces. This yearβs ranking assessed 138 nations, including 24 from Africa. GFP based its rating on five criteria namely, the number of serving military members, the naval...www.ecofinagency.com




jamaa ni mbunifu sana huyo.........
Kazi imeanza sasaπ€π€π€πΉπΏπΉπΏ
RelaxLkn si huo wakati alikua na familia yake, huenda kuna vile waliukwepa na kuutokomeza katika ukoo wao sio
Yani sijawahi kuona mwansayansi uchwara, km yeye ni mwanaume kwel na katosha wale wabunge waliokufa na matatizo ya kupumua hko bongo angeliwapima corona awaweke wazi...
Na wacha wale mpka wengine ambao hawajukikana lkn wanakufa hapo muhumbili kw complications, apime maiti za hao wafiwa corona km yeye ana pumbu mbili kweli
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Warembo na mahunk wa Tz πππ.Duh ata baada ya kubleach bado sura kama za MagufuliSura za wakenya kama jiko la mkaaView attachment 1630719View attachment 1630720View attachment 1630721
Tanzanian chicks ni wazuri duniani kote inajulikanaWarembo na mahunk wa Tz πππ.Duh ata baada ya kubleach bado sura kama za Magufuli
Hahaha Tanzania benchmarks US democracy
We nawe kwn kutumia iphone ndio hadhi jamani..Mrembo kama wewe huwezi kutumia sm j7,fanya kujibu msg kule dm uingie dunia ya iphone mrembo
Acha utani kaka
Ukifika msa nitafute majibu yako utayapataKumbe wewe ni Mwanamke ? ?![]()
Punguza shobo za mitandaoni basi, manake umjuae ndiye kumbe mwenzako siye...Huko msa ndio Wapi
Mimi ni mTanzania Aisee
Ungejibu kiustaarbu tuu punguza Shobo ndio nini ? Sijakutukana wala kukuuliza kwa nyodoPunguza shobo za mitandaoni basi, manake umjuae ndiye kumbe mwenzako siye...
Kaa rada jomba
Naona sasa umeanza zile taarab zenu, kwn uliitwa hku..we km huna hoja kaba acha kushobokea watuUngejibu kiustaarbu tuu punguza Shobo ndio nini ? Sijakutukana wala kukuuliza kwa nyodo
Jamii forum sio yako wala hujatengenezwa wewe kuwa na heshima
Okay okay sorry kwa kukushobokea mheshimiwa sikushobokei tenaNaona sasa umeanza zile taarab zenu, kwn uliitwa hku..we km huna hoja kaba acha kushobokea watu
Ww umeichukulia vibaya ....ni kwamba wale jama wanazionaga km nchi za Africa sio civilized ...sasa ni km imemshangaza ...Tz kuruhusu observersLol. Kwa wale wasioelewa kingereza, hii ndio maana yake.
Civilized countries zinaruhusu observers.
Tanzania pia inaruhusu observers.
Conclusion: Tanzania haiko kati ya nchi ambazo ni 'civilized'.
Matusi meupe mchana.![]()
Ahaha izo ni vitu average uku KenyaTanzanian chicks ni wazuri duniani kote inajulikana
Hawa wala sio hata celebrities lakini beauty is everywhere here, Kenya huwezi kukuta all this beauty in one frame, never
View attachment 1630817View attachment 1630818View attachment 1630819
Wewe ni mpumbavu na kichaa, hivi unaona hapo anaongea kichina? Unaona wivu kisa Tanzania imetajwa kwa sifa nzuri? Mungiki bana π π πLol. Kwa wale wasioelewa kingereza, hii ndio maana yake.
Civilized countries zinaruhusu observers.
Tanzania pia inaruhusu observers.
Conclusion: Tanzania haiko kati ya nchi ambazo ni 'civilized'.
Matusi meupe mchana. ππππ€£