Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

dah naona mjadala ijumaa ya leo umedondokea kuonyesha uzuri na wanawake warembo wa nchi
 
Ahaha izo ni vitu average uku Kenya
Hahahaha hivi Kenya napo wapo Warembo? Nimekupa hiyo picture ambayo imepigwa kwenye mazingira randomly hizo pisi hazijakutana hapo kwa masuala ya urembo means at any place in Tanzania Warembo ni wengi iwe masokoni, kazini, mitaani, mashuleni, vyuoni and everywhere

Sio ninyi mpaka muwe kwenye mashindano ya urembo kwa only extensively selected people ambao na wenyewe bado sura zao ni chungu kama mkulukulu unaotumika kwenye uvuvi haramu 😅😅
 
Nyie ndio wabovu kabisa tunawajua.The Ugliest in East Africa . Kubleach tu.Rwanda na Kenya ndio utapata original beauties
Yani kitu nawakubali wakenya ni mbio tu...nadhan hata manzi ya kikenya haikamatik kwa mbio ila kwa swala la uzuri wala sibishani nikapotez mda bure nyie wanawake wakikenya niwabaya sanaa...izo sura ni kama za babazenu tu...
 
Nyie ndio wabovu kabisa tunawajua.The Ugliest in East Africa 😂. Kubleach tu.Rwanda na Kenya ndio utapata original beauties
I think this whole competition about beauty is wrong. A person in their right mind would never say that all the people in their country are more beautiful than the people from another country. Beauty lies in the eyes of the beholder! To me, None of those girls you posted appear beautiful because personally, I have my own standards when it comes to identifying beauty.
 
T
Yani kitu nawakubali wakenya ni mbio tu...nadhan hata manzi ya kikenya haikamatik kwa mbio ila kwa swala la uzuri wala sibishani nikapotez mda bure nyie wanawake wakikenya niwabaya sanaa...izo sura ni kama za babazenu tu...
Tz hamna warembo.Wengi wana sura za Magufuli hivi😂😂.
 
mdada wa kenya niliemjua ni mzur bila kushirikisha ishu za dating na wanaume wa bongo nadhan ni yule hudah bossi.. wengine mfano tanasha na yule wa benpol nimewajua sababu ya kudate na wabongo.. ila wadada wetu wote akina ireneuwoya, wema sepetu, elizabeth, hamisa etc wote wakenya wanawajua
 
Si wanajulikana kw umalaya tu

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
T
Tz hamna warembo.Wengi wana sura za Magufuli hivi😂😂.
Magufuli ni handsome wala sio kidogo, huwezi mlinganisha na mkenya yeyote 😅😅😅

John_Magufuli_2015.png
jysiilteg89eekfklor1.jpeg
Tanzania-president-Magufuli-listens.jpg
untitled_design_-_2020-02-08t160234.239.jpg
1danielarapmoi-0402wk-4.jpg
1-1.png
 
Back
Top Bottom