Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nchi kuwa kwenye orodha ya wazalishaji wa kuu wa dhahabu, haimaanishi kuwa zinaongoza kuwa na hazina kubwa ya madini yaliyopo ardhini. Kwetu walikuwa wanasafirisha makontena mengi wakisema ni mchanga tuu, huku wakiyapeleka madini yetu kwao kuyachenjua na kujumuisha katika orodha ya madini wanayozalishwa huko.

katika makontena 277 yaliyozuiliwa (2017) kulikuwa na dhahabu zaidi ya 7.5kg (kwa kila kontena) na jumla ya thamani ya madini ilikadiriwa kuwa $119,198,318.68 (kwa makontena 277).

Walikuwa wanasafirisha makontena 300 kwa mwezi na hivyo nchi kupoteza kiasi cha takriban $100million kwa mwezi ambayo ni sawa na $1.2trilion kwa mwaka.

Katika miaka 17 waliokuwa wakichimba, tumepoteza kiasi cha $20 trillion. Kukupa picha ya wingi wa pesa tuliyoipoteza, GDP ya Marekani (2018) ilikuwa sawa na $20trillion. Utaitaje $20T visenti?

Siku zote ukisikia mbwa anabweka baada ya jiwe kutupwa gizani, ujue limempata. Ndiyo hizo kelele za hao wabunge wa Ulaya.
Sema watawala wenu ndio walikua wakipata mgao kutokana na hyo michanga, mpuuzi tu ndio atasema km wale jamaa walikua wakila hela za bure..

Lkn mtu anaejielewa atajua km hzo zilikua njama za wapigaji..
Beberu hasumbuki na mbinu za kifala km hzo

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Unatumia nn kufikiri? Tako au? Mtu akichukua mali yako akauza mil500 ww akikupa sh50 hapo utasemaje?
 
Ni fala tu ndio atakubali kupewa 50 kutokanan na 500..
Yani unafikiria wewe ilikua anakula mtu mmoja, hapo lazima utishuiwe either ulipe kodi au utoe mgao wa maana..

Ndio kutoka mwanzo nikasema, mjinga pekee ndio ataona km mabeberu walikula hela za bure hku wasilolijua kumbe ni ccm ilikuala hzo hela

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Kushinda kina Mondi,Harmonize na Hamorapa jamaa yaani nyie ni sura kiatu kutisha kuanzia viongozi wenu hadi wasanii
In East Africa Tanzania has the most beautiful women,

While in Kenya 40% are classified as ugly.

In Kenya, for every 10 women 1 is beautiful.
Na ndio maana unaweza zunguka ploti nzima ukakutana na pisi kali moja tu.

Kuna sehemu nimedanganya?
 
U guyz are just

U guyz are just ugly why lie
 
In East Africa Tanzania has the most beautiful women,

While in Kenya 40% are classified as ugly.

In Kenya, for every 10 women 1 is beautiful.
Na ndio maana unaweza zunguka ploti nzima ukakutana na pisi kali moja tu.

Kuna sehemu nimedanganya?
I hear that Magufuli is the Most Handsome man in Tanzania😂😂
 
Ni fala tu ndio atakubali kupewa 50 kutokanan na 500..
Yani unafikiria wewe ilikua anakula mtu mmoja, hapo lazima utishuiwe either ulipe kodi au utoe mgao wa maana..

Ndio kutoka mwanzo nikasema, mjinga pekee ndio ataona km mabeberu walikula hela za bure hku wasilolijua kumbe ni ccm ilikuala hzo hela

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Yn we ni bwege kweli hebu angalia hapa, beberu ndani ya hyo miaka amechukua 20Tril alafu ccm wamechukua bil500 (let say) wamegawana huoni kuwa hyo haina ufanano?
 
Ni fala tu ndio atakubali kupewa 50 kutokanan na 500..
Yani unafikiria wewe ilikua anakula mtu mmoja, hapo lazima utishuiwe either ulipe kodi au utoe mgao wa maana..

Ndio kutoka mwanzo nikasema, mjinga pekee ndio ataona km mabeberu walikula hela za bure hku wasilolijua kumbe ni ccm ilikuala hzo hela

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Hv we unavyodhani wazungu wanapoita waafrica ni wapuuzi unadhani wanakosea? Kiongozi wa Africa (wengi wao) yuko tayari kuchukua bil 20 lkn nchi ipoteze tril 20.
 
Back
Top Bottom