Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuonyeshe lini before kura zipigwe watu wakaleta vurugu...
Hayo ni mambo ya magu na museven tu, uchaguzi bado siku tatu watu wanapigwa risai..
Kisa wanahofia kupokonywa madaraka
Onyesha lini tanzanian kumetokea vurugu ktk uchaguzi, kabla au baada ya uchaguzi, Kenya ndiko ambako mnachinjana kila uchaguzi
 
Nikutishe kwa lipi!?. Unanini wewe nikutishe!? Ninajua in and out.
Mambo ya kujuana tena in and out??

Kwani kumjua mtu ni sifa?
Mpka unataka watu wajue kama unamjua?

Halafu mpka umefuatilia ili umjue manake ni special kwako... your idiol.

Embu mjibu mtu kwa hoja acha mambo ya kujifanya unajua watu sijui picha unazo uo ni ushamba.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
........



anyway, watajua hawajui kuwa sisi sio makoloni yao tena.. pia naona zile ni mbwembwe tu..
😅😅 Kuna vihoja na viroja humu kama vyote, yaani watu wanapelekwa tu na upepo, hawana msimamo

Mtu kasikia jambo tu huko, keshapeperuka nalo juu kwa juu, akifika pahala akasikia wenye akili wanatoa maoni yao yenye mantiki, ghafla anageuka msimamo wake wa awali anapepea na upya na msimamo mpya 😅😅😅

Yaani tafrani
 
Wataweza kweli huu mziki wa Magu?

EnLvHbkXUAEwquU.jpg
 
[emoji28][emoji28] Kuna vihoja na viroja humu kama vyote, yaani watu wanapelekwa tu na upepo, hawana msimamo

Mtu kasikia jambo tu huko, keshapeperuka nalo juu kwa juu, akifika pahala akasikia wenye akili wanatoa maoni yao yenye mantiki, ghafla anageuka msimamo wake wa awali anapepea na upya na msimamo mpya [emoji28][emoji28][emoji28]

Yaani tafrani

mim nilivyoelewa majamaa wametoa maoni na wameomba maelezo! mtu kusema wamepiga sanctions sio kweli.. hakuna nchi ya EU inauhusiano mbaya na Tanzania.. kilichobaki ni kuwapa maelezo tu.. mambo yakae sawa.. haina tofauti na ile ishu ya mkopo wa elimu kutoka WB
 
Onyesha lini tanzanian kumetokea vurugu ktk uchaguzi, kabla au baada ya uchaguzi, Kenya ndiko ambako mnachinjana kila uchaguzi
Mtaomba sana jamii zipigane kw ajili ya uchaguzi km ilivyotokea 2007..
Na kamwe haitowahi tokea, na km ni maandamano hata nyie pemba policcm waliuwa hta uchaguzi bado

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Mambo ya kujuana tena in and out??

Kwani kumjua mtu ni sifa?
Mpka unataka watu wajue kama unamjua?

Halafu mpka umefuatilia ili umjue manake ni special kwako... your idiol.

Embu mjibu mtu kwa hoja acha mambo ya kujifanya unajua watu sijui picha unazo uo ni ushamba.
Nadhani ungeendelea na mjadala.
Maana wewe na Geza kwenye mambo ya siasa mnge yaacha.

Na issue za siasa zipelekwe sehemu husika.
Nimepitia comments zako kuhusu siasa.

Nakushauri uachane na siasa.
Kuna comment umesema ni mara ya tano kupiga kura.
Kama ni kweli ur age is 35 - 40. Umri umasonga.
 
Kenya kila uchaguzi lazima watu wanauliwa sio chini ya

Ila baada ya uchaguzi mnachinjana" in hudreds"
That is very Ok for you to Kill each other after election so Long as before election it was peaceful?
Tuonyeshe lini wakenya waliuwana kisa uchuguzi kando na 2007..
Unafikiria jamaa waliingia barabarani bure 2007, regime yote ya kishenzi tumeitokomeza sia bado hizi ishu za matatizo mengine mengine..lkn km ishu za uhuru wa mtu mmoja mmoja tanzania haitushindi hata kw nini..

Utaomba sana jamii zipigane kisa uchaguzi, km ilikua unamaanisha maandamano mpka nchi za dunia ya kwanza watu wanaandamana..
Au uko na ushahidi km nani kamua mwenzake kisa uchaguzi kutoka 2013

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo huyaelewi haya magonjwa laiti kama kipindi kile magu ndo angekuwa raisi ukimwi usingeingia bongo,ona anavyoushughulikia beberu kisayansi,na wapinzani wanajiua wenyewe wala usimsingizie pombe
Lkn si huo wakati alikua na familia yake, huenda kuna vile waliukwepa na kuutokomeza katika ukoo wao sio[emoji23][emoji23]

Yani sijawahi kuona mwansayansi uchwara, km yeye ni mwanaume kwel na katosha wale wabunge waliokufa na matatizo ya kupumua hko bongo angeliwapima corona awaweke wazi...

Na wacha wale mpka wengine ambao hawajukikana lkn wanakufa hapo muhumbili kw complications, apime maiti za hao wafiwa corona km yeye ana pumbu mbili kweli

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Mtaomba sana jamii zipigane kw ajili ya uchaguzi km ilivyotokea 2007..
Na kamwe haitowahi tokea, na km ni maandamano hata nyie pemba policcm waliuwa hta uchaguzi bado

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Ndio mukaona muje na BBi iliokula millions of tax payers😂😂😂😂 two yrs before election mushaanza mambo ya siasa
 
mkuu hayo ni majadiliano na sio uamuzi.. sioni jambo la maana hapo.. kama ni maelezo watajibiwa na serikali

afu eti wanalalamika kwann hatujafata masharti yao na WHO kuhusu corona .. yan wanataka tujifungie ndan ili tusiendelee na shughuli zetu za siku za uzalishaji?? 🤷🏾‍♂️
Mbona hata huyo Lissu wao hajafuata masharti ya WHO alipokuwa Tz, tusitishane.
 
Mambo ya kujuana tena in and out??

Kwani kumjua mtu ni sifa?
Mpka unataka watu wajue kama unamjua?

Halafu mpka umefuatilia ili umjue manake ni special kwako... your idiol.

Embu mjibu mtu kwa hoja acha mambo ya kujifanya unajua watu sijui picha unazo uo ni ushamba.

Huyo jamaa au demu ni hovyo kweli Yaani kumjua mtu basi iwe ndo sababu ya kukubali kila kitu. Eti picha anazo sasa si atumie huko chumbani kwake. Yaani jamaa anaona sifa kabisa kua na picha za geza
 
Back
Top Bottom