Nchi kuwa kwenye orodha ya wazalishaji wa kuu wa dhahabu, haimaanishi kuwa zinaongoza kuwa na hazina kubwa ya madini yaliyopo ardhini. Kwetu walikuwa wanasafirisha makontena mengi wakisema ni mchanga tuu, huku wakiyapeleka madini yetu kwao kuyachenjua na kujumuisha katika orodha ya madini wanayozalishwa huko.
katika makontena 277 yaliyozuiliwa (2017) kulikuwa na dhahabu zaidi ya 7.5kg (kwa kila kontena) na jumla ya thamani ya madini ilikadiriwa kuwa $119,198,318.68 (kwa makontena 277).
Walikuwa wanasafirisha makontena 300 kwa mwezi na hivyo nchi kupoteza kiasi cha takriban $100million kwa mwezi ambayo ni sawa na $1.2trilion kwa mwaka.
Katika miaka 17 waliokuwa wakichimba, tumepoteza kiasi cha $20 trillion. Kukupa picha ya wingi wa pesa tuliyoipoteza, GDP ya Marekani (2018) ilikuwa sawa na $20trillion. Utaitaje $20T visenti?
Siku zote ukisikia mbwa anabweka baada ya jiwe kutupwa gizani, ujue limempata. Ndiyo hizo kelele za hao wabunge wa Ulaya.