Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Makasiriko ya nini?

Kwani ni Tanzania ndio imeleta corona kunyaland!

Juzi nilikuambua uthibitishe kuwa Tanzania kuna corona,

Na mimi nitathibitisha kuwa Tanzania hakuna corona kwa kutumia vithibitisho hai lakini hadi leo hii hujathibitisha kumaanisha kuwa ulikuwa unabwabwaja tu ovyo.

Cc The best 007

View attachment 1630569
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Makasiriko ya nini?

Kwani ni Tanzania ndio imeleta corona kunyaland!

Juzi nilikuambua uthibitishe kuwa Tanzania kuna corona,

Na mimi nitathibitisha kuwa Tanzania hakuna corona kwa kutumia vithibitisho hai lakini hadi leo hii hujathibitisha kumaanisha kuwa ulikuwa unabwabwaja tu ovyo.

Cc The best 007

View attachment 1630569
Analala sahiv kachoka sanaa na lindo
 
Sema watawala wenu ndio walikua wakipata mgao kutokana na hyo michanga, mpuuzi tu ndio atasema km wale jamaa walikua wakila hela za bure..

Lkn mtu anaejielewa atajua km hzo zilikua njama za wapigaji..
Beberu hasumbuki na mbinu za kifala km hzo

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Mrembo kama wewe huwezi kutumia sm j7,fanya kujibu msg kule dm uingie dunia ya iphone mrembo
 
Zinawauma wakenya hz sema hamjui tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

hawana hata moja ya hizi
IMG_1605871758.434569.jpg
 
hawana hata moja ya hizi
View attachment 1630701
But KDF is powerful than TDF
 
But KDF is powerful than TDF
Powerful of what wakat somalia inawatoa ushuzi hebu ntajie ni vita gani kenya mulishiriki kukomboa africa tujue😂😂😂
 
Back
Top Bottom