NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,020
- 19,193
Wewe Wacha matusi.Mtu mzima na ubongo zeroMkuu hawa machokoraa ya Kunyaland ni kwenda nayo tu nginjanginja, ni makamongo vichwa mawe 😅😅
Thika is another county au nadanganya😂😂Thika, 45km from Nairobi CBD. The whole stretch from Nairobi is built up. Check on Google maps if you doubt. Naton Jr
View attachment 1628971View attachment 1628973View attachment 1628974View attachment 1628975
It is under Nairobi metroThika is another county au nadanganya[emoji23][emoji23]
Lamu port berth mbili zilizobaki zipo 80% complete. Moja ishakamilika. Hizo mbili zitakamilika mwaka ujao. Lakini hatujui crane zitachukua muda upi kufika Kenya. Sina uhakika kama order ya cranes imeshatokewa.2022 sio baada ya Uhuru?
Wewe huelewi. Post-panamax ni meli kubwa na inaweza kubeba kutoka China mizigo inayokwenda Afrika na Europa kwa safari moja. Kisha inatia nanga Lamu na kupakua mizigo ya (Dar port, Mombasa port na Djibouti port) kisha inaelekea bara la Europa. Halingojei meli ndogo ifike Dar na kurudi na mizigo kama ulivyosema. Hakuna mahali nimesema kuwa meli ndogo itapekeka mizigo Dar kisha irudi na mizigo Lamu. Post-panamax haina muda wa kungoja meli ndogo iende Dar na kurudi na mizigo. Post-panamax haichelewi hapo Lamu port, inamwaga mizigo na kuondoka.Cargo volume kati ya Dar port na Lamu port iko vipi? Kwamba hiyo post panamax baada ya ku berth hapo Lamu inaweza kupata cargo ya kutosha ya kuondokea? Hizo meli ndogo zitakazokuja Dar ndio zipakie mizigo kutoka Dar kuileta Lamu then wa offload kisha wapakie kwenye hiyo Panamax tena?
Unajua kazi za operations and management, haswa kwenye logistics na shipping in general? Ukiwa business manager wa maersk ndio utawashauri hivyo?
Overpass progress [emoji7][emoji7]
South C construction boom[emoji91] at the background
View attachment 1629003
Wewe huelewi. Post-panamax ni meli kubwa na inaweza kubeba kutoka China mizigo inayokwenda Afrika na Europa kwa safari moja. Kisha inatia nanga Lamu na kupakua mizigo ya (Dar port, Mombasa port na Djibouti port) kisha inaelekea bara la Europa. Halingojei meli ndogo ifike Dar na kurudi na mizigo kama ulivyosema. Hakuna mahali nimesema kuwa meli ndogo itapekeka mizigo kutoka Dar hadi Lamu.
Thika, 45km from Nairobi CBD. The whole stretch from Nairobi is built up. Check on Google maps if you doubt. Naton Jr
View attachment 1628971View attachment 1628973View attachment 1628974View attachment 1628975
Hili dude likiisha ufunguliwe uzi humu "Mbezi bus stand vs Nairobi terminus" tuone ipi kali hahahahahaaa.Hivi wakenya wameona hii settlement ilivyo ya kisure na ni zaidi ya kilometres 30 kutoka CBD?
Nairobi, 30 kilometers from CBD upo Turkana, Tukiwaambia Dar ni jiji kubwa watuelewe
Halafu huwa wanasema Dar Hakuna miti kama Nairobi, Em wazoom kidogo hapo wajionee walivyo mediocre
View attachment 1628933
Here is what 30km from Nairobi looks like son.
Greenpark
View attachment 1628960
Greatwall Gardens
View attachment 1628963View attachment 1628964
Kitengela
View attachment 1628965
Kiserian
View attachment 1628966
Niendelee? Usidhani Nairobi ni Dar. That metropolis is huge and developed. And remember Nairobi spreads to all Directions from the city center while Dar can't spread towards the ocean.
LOL for your little information, incase you forgot 😂Thika, 45km from Nairobi CBD. The whole stretch from Nairobi is built up. Check on Google maps if you doubt. Naton Jr
View attachment 1628971View attachment 1628973View attachment 1628974View attachment 1628975
Hahahaha naongeza na kenyatta airportHili dude likiisha ufunguliwe uzi humu "Mbezi bus stand vs Nairobi terminus" tuone ipi kali hahahahahaaa.
Morocco square.You can't get cluster like this in Dar es SalaamView attachment 1628524
I will not waste my time arguing with a person who does not understand what a metro is. Thika will always remain to be classified under Nairobi Metropolitan whether you like it or not
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaha naongeza na kenyatta airport
Hahahaha kitu cha kiambu babu hicho 😂😂😂😂I will not waste my time arguing with a person who does not understand what a metro is. Thika will always remain to be classified under Nairobi Metropolitan whether you like it or not
Ona hizi mbuzi zinalazimisha kiambu iwe Nairobi 😂😂😂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Haya machokoraa huwa ni majinga sn, mwenzao hata akiongopa hayamrekebishi mafala sn haya mazembe [emoji3][emoji3][emoji3]Ona hizi mbuzi zinalazimisha kiambu iwe Nairobi [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1629048
Yaani Nairobi bila usaidizi wa kenya nzima, inapigwa na Dar saa 11 alfajiri [emoji28][emoji28][emoji28]