Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwaiyo sikuizi ugonjwa wa corona umekuwa ukimwi sio? Mbona mlijifanya kuiga kufungua shule kimewakuta nini mpaka mkafunga tena ? Ndio ujue Tz is a blessed nation
So Tanzania imeweza kupambana na corona kushinda nchi zote duniani!! Hadi zile zenye advanced healthcare systems. Hii Tanzania ambayo corona ilipatikana hadi kwenye mbuzi na papai?? 😂 😂 😂 😂
 
Am not feed from bones and deadmeat, hopeless pauper View attachment 1628022
Just a polite reminder. 😂 😂
PhotoGrid_1605162481588.jpg

Mark the keyword "extreme poverty" 😂 😂
 
Hahahaha eti Lamu port? Hiyo takataka inajengwa kwa miaka 20 na haitafika popote pale mpaka dunia inaingia kaburini, nakuapia
Afadhali yetu inajengwa even if it'll take a hundred years. Bagamoyo haitajengwa hadi Yesu arudi
 
Afadhali yetu inajengwa even if it'll take a hundred years. Bagamoyo haitajengwa hadi Yesu arudi
LOL na hatutaki ijengwe sasa

Lamu haitakaa iwe port milele, itabaki kuwa white elephant forever 😂😂😂😂
 
Sisikii wivu ila kusema kweli nawahurumia kwa jinsi akili zenu ni mgando. This level of lies ain't good at all
Kwann usijihurumie ww kwanza unaehangaika na corona 😂😂😂 so kama hakuna corona tuseme ipo tu kisa kenya ipo au???
 
Aibu kwa inchi ambayo inaongozwa na dictator,,no freedom of media at all,we know you guys, crazy country
Buda,DW ni chombo cha habari ya cha Tanzania?unajua Corona ni kaugonjwa ka aibu😂😂 mmeshindwa kuimaliza!aibu kwenu.
 
Unataka na sisi pia tudanganywe kama nyie vilaza tuamini? You better live with the bitter truth than sweet lies
Unajua maana ya kudanganya au unaweweseka ovyo hapa,

Hivi hapo kunyaland kudanganya si ni moja ya ahadi ya viongozi wenu [emoji23][emoji23][emoji23]

 
LOL na hatutaki ijengwe sasa

Lamu haitakaa iwe port milele, itabaki kuwa white elephant forever 😂😂😂😂
If wishes were horses 😂 😂 😂


 
If wishes were horses 😂 😂 😂


white elephant kama white elephant 🐘🐘😂😂😂
 
Back
Top Bottom