Tatizo huyaelewi haya magonjwa laiti kama kipindi kile magu ndo angekuwa raisi ukimwi usingeingia bongo,ona anavyoushughulikia beberu kisayansi,na wapinzani wanajiua wenyewe wala usimsingizie pombeAwasaidie pia kurudi maabar kutafuta mbinu za kuukwepa na kuutokemeza ukimwi tanzania...
Sayansi ajulie wapi yule labda tusubirie chanjo ya kumaliza upinzani duniani kupitia kwake zee la kupima mapapai
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Hakuna ugonjwa usio na tiba Tanzania isipokuwa kifo.Awasaidie pia kurudi maabar kutafuta mbinu za kuukwepa na kuutokemeza ukimwi tanzania...
Sayansi ajulie wapi yule labda tusubirie chanjo ya kumaliza upinzani duniani kupitia kwake zee la kupima mapapai
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo hiyo picha ndo sanction?Yale aliyokuwa anasema Geza Ulole yameshaanza kutimia.economic sanction imeshaanza kutoka EU.kuna watu walikuwa wanambeza sana.ila matokeo ya hii economic sanction tutaumia sisi wananchi na sio viongozi.itakuja kuwa kama ya Zimbabwe mtu unaenda na furushi la pesa sokoniView attachment 1630024
Tunatishana tishana tu hapa walete hzo sanction bhn, mbn hawapeleki sanction America na madudu yametokea dunia nzima imeona? Mbn America hakuna democracy na dunia nzima inajua na hawapeleki sanction, Africa tukiendelea kuwasujudia Hawa wasenge tutaendelea kudumaa kila siku, mbn wameweka sanction zao kule Zimbabwe na maisha yanaendelea tu? Waweke hzo sanction zao wasenge hawa wanataka kutupangia maisha wkt this is a sovereign country.Kwa hiyo hiyo picha ndo sanction?
Wewe ndo umesemaKwa hiyo hiyo picha ndo sanction?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dilemmaTunatishana tishana tu hapa walete hzo sanction bhn.
JPM ashasema hiki ndo kipindi cha kufanya mambo yetu bila uogaTunatishana tishana tu hapa walete hzo sanction bhn, mbn hawapeleki sanction America na madudu yametokea dunia nzima imeona? Mbn America hakuna democracy na dunia nzima inajua na hawapeleki sanction, Africa tukiendelea kuwasujudia Hawa wasenge tutaendelea kudumaa kila siku, mbn wameweka sanction zao kule Zimbabwe na maisha yanaendelea tu? Waweke hzo sanction zao wasenge hawa wanataka kutupangia maisha wkt this is a sovereign country.
Wangeanza kuchunguza percentage ya watz wanaolalamikia uchaguzi na wale ambao wameridhika na matokeo zen ndo waweke hcho kikao chao lkn co eti watuwekee kikao kisa kelele za mpumbavu mmoja waliemtuma.JPM ashasema hiki ndo kipindi cha kufanya mambo yetu bila uoga
Sisi tanzania ni matajiri sana ila shida ni moja tu ni kutumia utajiri wetu kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetuHuu ndio utajiri.
View attachment 1630049
tunaomba link au habari ya hizo sanctions tuzione tafadhaliSisi tanzania ni matajiri sana ila shida ni moja tu ni kutumia utajiri wetu kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu
tunaomba link au habari ya hizo sanctions tuzione tafadhali
kuna sehem nimecheka... sijui imetungwa au kweli.. eti kuna mbunge kaongelea ishu ya terrorist attacks in southern part of tanzania kwamba ni sababu ya tanzania ipewe economic sanctions [emoji23][emoji23]