Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umenotice Wabongo wamehepa hii thread na venye huwa wamejazana hapa? Hahaha
amenishtua sana na comment yake,,hadi nika baki..like WTF is this guy? itabidi akuje mwenye ajionee juu wenzake washakubali
 
Umenotice Wabongo wamehepa hii thread na venye huwa wamejazana hapa? Hahaha
kabisa..uzuri tuko na evidence kutoka watu upande zao wemkubali ..kenya ni hatari....ikija kwa development..wanajenga sgr but haijakamilika lakini zile pembe wamemea nazo..hatuwezi lala..ingekua hao na economic giant of east africa sijui tungekua tuko wapi sisi wakenya
 
Kama wangekuwa mbele yetu wangeturingia sana. Hawa watu huwezi kuwashinda kwa mdomo. Ni bahati tu tuko mbele yao. Na tusikubali watupite juu itabidi tumehama JF juu ya ile war tutapigwa. Unajua Wakenya hatuna mdomo sana so huku hakutakalika.
 
Umenotice Wabongo wamehepa hii thread na venye huwa wamejazana hapa? Hahaha
Bwana uhuru chang'aaa naona anajitaidi kuwalubuni habaki tena madarakani kwa ilo daraja la nairobi.

Watz tunapiga huku na kule
Huku mwendokasi
Kule sgr
Kule rufiji hydropower
Huku flyover za mwendo kasi
Na nataka nikwambie tulia ivoivo mwezi huu tunazindua stand ya mabus ya kimataifa pale mbezi.
 
my friend ata heri unyamaze...tuko na nairobi expressway,tuko na western bypass,,kuna southern bybass to icd,kuna dualling of nai to makutano,brt kule thika road inajengwa,,mombasa ndio balaa,,,tafuta jomvu to msa road project,flyover kama zote kuna dongo kundu just but to name a few...kasi ya kenya huwezani nayo nanii
 
Yaani unafurahia uzembe wa serikali yenu kushindwa kulinda raia wake hadi kupelekea raia kumiliki silaha kiholela!

Embu tizama hii video kisha kuja ureply ujinga tena.

Tueapokonye ndio wenzao wa uganda na south sudan na uganda wakiwavamia wawamalize wote ndio muanze kulaumu serekali ya kenya..

Mbna hamuwasemi wa museveni wapokonywe bunduki, au ni vile mna wivu na kenya
As long as wanatumia hzo silaha kulinda mali yao na usalama wao poa bora hatujasikia wameteka watu
 
Nawashangaa nyie wajinga ambao ilikuwa kila kifo kikitokea Tanzania mnaanza kuzusha kuwa ni corona,

Halafu leo hii unaandika tena bila aibu "kwa hiyo Tanzania watu hawafi siku hizi"

Huwa mnasahau mapema sana.
Sasa kwn utajuaje mtu km kafa na corona bila ya kumpima, au unafikiria mtu akiwa na presha hawezi kuwa na corona..

Ndipo nikakwambia, hata ukiacha kupima watu corona bado watu watakufa..
 
Tueapokonye ndio wenzao wa uganda na south sudan na uganda wakiwavamia wawamalize wote ndio muanze kulaumu serekali ya kenya..

Mbna hamuwasemi wa museveni wapokonywe bunduki, au ni vile mna wivu na kenya
As long as wanatumia hzo silaha kulinda mali yao na usalama wao poa bora hatujasikia wameteka watu
Hii comment bado inafaa kukujibu kwenye huu ujinga ulio rudia kuandika hapa.

Yaani unafurahia uzembe wa serikali yenu kushindwa kulinda raia wake hadi kupelekea raia kumiliki silaha kiholela!

Embu tizama hii video kisha kuja ureply ujinga tena.
 
Sasa kwn utajuaje mtu km kafa na corona bila ya kumpima, au unafikiria mtu akiwa na presha hawezi kuwa na corona..

Ndipo nikakwambia, hata ukiacha kupima watu corona bado watu watakufa..
Mimi naweza kukuthibitishia kuwa Tanzania hakuna corona kwa kutumia vithibitisho hai,

Je wewe unaweza kuthibitisha kuwa Tanzania kuna corona?

Au ndio utaendelea kuandika ujinga wako.
 
Kumthibisha mtu km hana maradhi ni lazima umpime, au wewe ndio umepima wangapi
 
my friend ata heri unyamaze...tuko na nairobi expressway,tuko na western bypass,,kuna southern bybass to icd,kuna dualling of nai to makutano,brt kule thika road inajengwa,,mombasa ndio balaa,,,tafuta jomvu to msa road project,flyover kama zote kuna dongo kundu just but to name a few...kasi ya kenya huwezani nayo nanii
BRT wapi thika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ile lipstick...embu kalale uko
 
Hii comment bado inafaa kukujibu kwenye huu ujinga ulio rudia kuandika hapa.

Yaani unafurahia uzembe wa serikali yenu kushindwa kulinda raia wake hadi kupelekea raia kumiliki silaha kiholela!

Embu tizama hii video kisha kuja ureply ujinga tena.
Sai unajitia unawajali hao jamaa, lkn ile siku serikali itawapokonya hzo silaha na wavamiwe wauliwe wote..
Utarudi hapa kunengua[emoji1787][emoji1787]
Sasa kw taarifa yako wajilinde km walivyoamua kuishi msituni na kutengeza maadui kutokea jadi..

Wakivamiwa na wao wajipange wakavamie, mkitaka tuwapokonye kawambie waganda na wale wa south sudan ndio tukae mezani..
Lkn ombi lako peleka chato
 
Back
Top Bottom