Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Pima mkojo kwanza ๐๐๐๐๐๐
Unataka nikuletee budget statements za GOK kuanzia 2014? Tuone kama Lamu port haimo ndani ya budget ya kila mwaka? Mimi naongea kuhusu budget ya GOK mimi siongei kuhusu article ya gazeti ya 2014. Hapa hutashinda.
Geza Ulole huyu Mbongo mwenzako huwa anaudhi sana lakini niko radhi kumpa shule