Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania wanainterchange moja pekee halafu wanataka kubishana na Kenya wabwege sana
Acha wenge ww....tuliza kende
JamiiForums846546898.jpg
JamiiForums340064752.jpg
 
Uhuru hana option. Tanzania is one of our largest trading partners. Hata mkifanya upuzi upi bado atampongeza tu mshindi kwa sababu anajaribu kulinda maslahi ya Kenya. Nyie lazima muendelee kununua bidhaa zetu kwa hivyo lazima Uhuru afumbe macho ila wazungu hawana unafiki huo. Ngojeeni kiboko cha mabeberu. Itashuka hivi karibuni kwenye migongo zenu.
Hebu tuambie ni bidhaa gani hasa tunaitaji kwenu i mean necessity goods?
 
Mtapigwa sanctions kama Sudan ndio mfyate midomo zenu kubwa. Mtashindwa hata kuomba loan ya miradi yenu. Wakati bei ya mkate na unga utaanza kupanda kama ulivyofanyika Sudan ndio mtajua athari ya sanctions. Kwa sasa mjipige kifua tu. Ulizeni Zimbabwe sanctions zina athari gani.
tatizo wengi wao humu hawana upeo wa mambo yanavyoenda wamepumbazwa na propaganda za Magufuli wanafikiri Tanzania ipo immune na vikwazo!
 
this is what i meant

endelea kujidanganya! Tanzania ikipigwa ban ya kuto-export US and EU, tumekwisha Zimbabwe inafanya biashara na China zaidi ya mwaka wa kumi na hawajaweza kujikwamua kwenye hali mbaya ya uchumi! Mchina alijeuka kuwa mnyonyaji baada ya kung'amua yeye pekee ndio soko la Zimbabwe. Hata hizi nchi za jirani tunazofanya nazo biashara zitajeka mabeberu!
 
Sasa unafananisha Sudani na Tanzania au Zimbabwe na Tanzania yetu? Sudani Muzungu alikuwa na ishu na Al Bashir aliyeongoza Sudani zaidi ya miaka 20, Sudani ina mafuta mengi ambapo amefukuza Muzungu companies kampa China, Sudani alikuwa haitambui Isreali, na mambo mengine mengi. Zimbabwe pia Muzungu alikuwa na ishu na Mugabe ambaye alifukuza white settlers, akanyang'anya diamond minings ambapo Zimbabwe wana moja kati ya deposits kubwa ya almasi Duniani kumpa China, Mugabe aliongoza Zimbabwe tangia 1980.

Sasa utawezaje kufananisha na Tanzania yetu? Muzungu ana shida gani na Tanzania yetu hadi aipige sanctions? Kama ni Magufuli wana shida naye anamaliza muda wake Kikatiba 2025 anaondoka hakuna haja ya sanctions, kama ni CCM well CCM siyo mtu hivyo watakuwa ni watu ajabu kuwa na ishu na CCM, isitoshe Tanzania yetu haina uhusiano mbaya na Mataifa mengine hata ya Muzungu na ndio maana unaona hata ni lazima chadema watafute kwanza Lawyer halafu eti huyo loya ndiyo aandike barua kwa muzungu kushitaki, wewe uliona wapi? Kwa nini watafute loya? Muzungu ana muwakilishi wake hapa Tanzania kuanzia UN, EU, USA, &Co. sasa kuna haja gani ya kutafuta loya na kumlipa mamilioni ya dola, kwani Muzungu haoni kinachoendelea?
Hamtapigwa sanctions saa hii lkni magufuli akiendelea hivi sanctions zko njiani
 
mzee wa MIGA ndo nani?
😂😂😂si yule alokua anatutishia tutashtakiwa miga na wazee wa makinikia 😂😂😂

anyway tukubaliane hakuna kitachotokea tz saba in general uchaguzi ulkua huru na haki. kilichotokea kwe vituo viwili vi3 haviwezi kuzuia uchaguzi kua huru na haki kiujumla!!

hao wazungu hawafanyii kazi kwe mitandao thibitisha pasi na shaka(najua act na chedema hawawezi)then wanaweza kuwasaidia.

maandamano.....kwan tukiwambia tumezuia kwa sabab za kiusalama watafanyaje labda?

this time election tumewakwepa mitego yao vizuri sana yani kiuhalisia hawana pa kutushikia asee ndo maana nko apa nashupaza shingo.
 
Nashangaa sana jpm amejenga interchange moja na brt anaabudiwa Kama mungu uhuru Kenyatta amefanya mengi lkni bado anatukanwa kupindukia there is something wrong in Tanzania
Jpm hajajenga BRT kaikutia njiani, hata hyo interchange yeye kaikutia njiani, hata airport kaikutia njiani so inakupasa utuulize cc WaTz why tunampenda!!
 
Leta ingine nairobi pekee inaa interchanges nyingi kuliko east Africa yote
Siulisem iko moja...umechange gia angani...nyie ndio mnaita mpka flyover interchange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niweke hapa interchanges zote za kenya plz note sio flyovers....
 
Back
Top Bottom