Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pitia comments za post ya Chadema kwenye ile post lissu anasema Watanzania muandamane

walijua watapata supports, kumbe kibao kimegeuka!
ujue Lissu alikuwa yuko kweny position nzuri sana ya kumchallenge Magu kuliko alivyofanya Lowasa 2015, lkn kajiharibia anapotukana tukana, uongo uongo na anapotegemea watu wa nje kuingilia mambo ya ndani.. watanzania tunaona na tunaelewa, asidhan hatujitambui!

Yeye mwenyewe katype tuandamane, alitakiwa atoke nje na speaker aseme kwa sauti tuandamane ila sio kutype... Keyboard warriors hao
Wapiga kura wa United Republic of Twitter and jukwaa la siasa

Kazi ni kutukana ovyo na kuzusha ovyo ili wapate huruma za wananchi huku wakitengeneza zile poll za kwenye mitandao ya kijamii hususan twitter wakijiaminisha watashinda,

Wanawaambia Watanzania waandamane huku wao wamejifungia ndani...Watanzania sio wajinga.
 
walijua watapata supports, kumbe kibao kimegeuka!
ujue Lissu alikuwa yuko kweny position nzuri sana ya kumchallenge Magu kuliko alivyofanya Lowasa 2015, lkn kajiharibia anapotukana tukana, uongo uongo na anapotegemea watu wa nje kuingilia mambo ya ndani.. watanzania tunaona na tunaelewa, asidhan hatujitambui!

Kipindi cha corona walimnanga na kumpa kejeli ya kila aina JPM,

Alivyo kuja akawa anafanya "media tour" kwenye media za kenya huku akiwaamisha wakenya kuwa Tanzania ni kubaya halafu ghafla akaanza kufanya kampeni tena anashindana kujaza watu bila kuchukua tahadhari zozote
 
Pitia comments za post ya Chadema kwenye ile post lissu anasema Watanzania muandamane
We unafikiria Watanzania wako kama mambwa eti shika huyo nao wakatoka tu kama mafala flani. Kwa lipi?!kwa manufaa ya nani?!!Bado sana aisee hatujafika huko. Hao wanahamasisha maandamano wana ndg kibao tu waite koo zao ziingie barabarani maana hao ndo at least wanaweza kuwa ni wanufaika 😂😂😂😂.
 
We unafikiria Watanzania wako kama mambwa eti shika huyo nao wakatoka tu kama mafala flani. Kwa lipi?!kwa manufaa ya nani?!!Bado sana aisee hatujafika huko. Hao wanahamasisha maandamano wana ndg kibao tu waite koo zao ziingie barabarani maana hao ndo at least wanaweza kuwa ni wanufaika .
Mange aliandamana mwenyewe
 
Bro, hizi ni siri za dunia ambazo wengi tumefungwa kuzijua. Imagine mtu unaacha pombe kwa kunywa kikombe kimoja tuu cha mmea.

Hii statement ni ya thamani sana, watu hawaelewi tuu.
  • Ilikuchukua muda gani (baada ya kupata dozi) kurudi kwenye hali ya kawaida?
  • Je, ulitapika?
  • Uliweza kutembea na kuongea wakati wa dawa iko kichwani?
  • Uliweza kuona complex geometric patterns?
  • Kuna idea mpya zilizokujia wakati huo?
  • Ukiachana na hamu ya pombe ni kitu gani kingine kimebadilika baada ya kupata
Kiufupi unapokunywa hiyo dawa, control ya akili na kila kitu ndani ya mwili wako kipo chini ya hiyo dawa...Unakutana na watu wengi Sana unapokuwa unasafiri... Kuna pattern nyingi Sana unaziona zinakuijia...Utajalibu kupambana na iyo dawa mwanzo lakini utashindwa... Kiufupi nikama unakuwa umekufa na huna tena control na kitu chochote katika mwili wako. Kama unataka kujua kuwa Kuna afterlife basi tumia hiyo dawa...I was real travelling through time...You start living a new life nakupata idea mpya nyingi Sana...Inakuchukua masaa sita kuisha...Ila kuisha kabisa Inakuchukua siku nzima...Utakuwa unafanya vitu bila wewe kujua kwa hiyo Ni vyema ufungiwe chumbani bila kuwa na kitu chochote kitakacho kudhulu...
Kama utaitaji kuacha pombe... Muda huo unaokuwa kwenye trip maisha yako yote tokea umezaliwa hadi Leo hii yanakuijia alafu inakupeleka sehemu nyingine ambapo nikama unakutana na malaika... Mimi ilo ndo Jambo la ajabu lililonishangaza Sanaaaa..
 
sio kweli na huo ni uongo na uzushi na hakuna katiba kubadilishwa

Hili ndo linaenda kutendeka! mbona lipo wazi subiri uone CCM true colors! Baada ya Ndugai, Majaliwa na Kabudi na wale wengine 30+ kupita bila kupingwa kinachofuata na kulipa fadhila!
 
kweli ni malofa kama kura zinakamatwa af aliekamatwa nazo hayupo yani walizikamata zikielea hewani
aliekamatwa nazo yuko wapi?
uwongo hakuna kura za hvo musichukulie mambo kienyeji tu kura inayohesabiwa ni ile yenye number ya mpiga kura sasa ww unaokota makaratasi unapiga tick kwa magufuli bila no ya kadi ya mpiga kura unasema umeibiwa kura sio kweli
 
Hili ndo linaenda kutendeka! mbona lipo wazi subiri uone CCM true colors! Baada ya Ndugai, Majaliwa na Kabudi na wale wengine 30+ kupita bila kupingwa kinachofuata na kulipa fadhila!

geza hakuna ukweli wowote kwa hilo mark my words na hakuna katiba itaguswa na awamu hii ccm watapiga kazi kuliko hata hii miaka mitano iliopita
 
geza hakuna ukweli wowote kwa hilo mark my words na hakuna katiba itaguswa na awamu hii ccm watapiga kazi kuliko hata hii miaka mitano iliopita

Ngoja tuone kaka ila tuko kwenye hatari ya vikwazo vya uchumi huu uchaguzi ni aibu!
 
upinzani wa nchi hii ni waajabu yani hawaamini kama kuna kushindwa wao wanafkiri ni kushinda tu sasa mbona lema huko arusha mjini kashindwa na kajua hapa nimeshindwa kamkombati alieshinda wa CCM na akaondoka, naskia mtu anasema uchaguzi haukuwa wa halali ni uwongo wa dhahiri kabisa katika miaka niliopiga kura hakuna uchaguzi nimeona ulikua wa wazi kabisa kama awamu hiii
 
Kiufupi unapokunywa hiyo dawa, control ya akili na kila kitu ndani ya mwili wako kipo chini ya hiyo dawa...Unakutana na watu wengi Sana unapokuwa unasafiri... Kuna pattern nyingi Sana unaziona zinakuijia...Utajalibu kupambana na iyo dawa mwanzo lakini utashindwa... Kiufupi nikama unakuwa umekufa na huna tena control na kitu chochote katika mwili wako. Kama unataka kujua kuwa Kuna afterlife basi tumia hiyo dawa...I was real travelling through time...You start living a new life nakupata idea mpya nyingi Sana...Inakuchukua masaa sita kuisha...Ila kuisha kabisa Inakuchukua siku nzima...Utakuwa unafanya vitu bila wewe kujua kwa hiyo Ni vyema ufungiwe chumbani bila kuwa na kitu chochote kitakacho kudhulu...
Kama utaitaji kuacha pombe... Muda huo unaokuwa kwenye trip maisha yako yote tokea umezaliwa hadi Leo hii yanakuijia alafu inakupeleka sehemu nyingine ambapo nikama unakutana na malaika... Mimi ilo ndo Jambo la ajabu lililonishangaza Sanaaaa..
Mkuu nimeku pm.
 
huyu kaishiwa na hzi ni technics za upinzani ila hazina ukweli nilkua leo nasikiza TBC jamaa akielezea anakwambia kwa awamu hii ilikua ni ngumu sana kuiba kura kaelezea vzr sana na ukiangalia ni kweli kwasababu na mm pia nimepiga kura nimeona
Mm nilikuwepo ktk kuhesabu kura ilikuwa wazi kabisa hakuna wizi wwte, ktk maeneo mengi mambo yalikuwa wazi kabisa, huenda ccm pia walijiandaa kwa njia yoyote lkn wakashangaa kuona wananchi walijiandaa kuangusha upinzani kuliko ccm.
 
Back
Top Bottom