Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hayo ndio maisha ya wakenya tangu walipopata Uhuru wao, yaani lazima awepo mtu mmoja ambaye ndiye anayefikiria watu wa jamii yake, ukimpinga unaitwa msaliti wa jamii hiyo na unastahili kuuliwa.

Ukambani alikua ni Kalonzo Musyoka, Ujaluoni ni Raila, Ukikuyu ni Kenyatta family, Kalenjin ni Moi Family, Luhya wao hawana umoja bado.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mkuu unawajua sn hawa watu.
 
Ila sasa hivi wakenya wengi wameanza kujua kwamba mambo mengi waliyokua wakiaminishwa na viongozi wao na media zao sio kweli, sio kweli kwamba Kenya is very perfect kama walivyokua wakiaminishwa.

SGR, Covid-19, Kushindwa kwa KDF huko Somalia, kuongezeka kwa deni la taifa, kuendelea kuwepo kwa njaa, kuongezeka kwa rushwa, yote haya yameonyesha udhaifu wa nchi ya Kenya.

Unapiga panapouma
 
Mzigo ndio huo. Leo asubuhi.
2602805_JamiiForums354875329.jpg
 
Kama ni hivyo basi mbona nyie Wabongo hamjachangamkia fursa hio? Niko 100% sure kama Kenya ingekuwa inapakana na sehemu tajiri kama hio tungewatawala hao watu sana. Tungefanya nao biashara kwa wingi tu. Hata tungeunda meli nyingi zamani tu na kutrade na wao. Barabara pia ingetandikwa zamani tu. Sasa nyinyi siwaelewi hata kidogo. Mbona mnazubaa sana?
Hilo swala linashugulikiwa..Zaidi ya ports 4 mpya ziko zinajengwa...kuna Meli Mbili zitaanza kujengwa soon moja ya mizigo nyngne ya magari...reli inatandikwa to the biggest of 4 ports..CRDB wana plan ya kuingia Congo..hizo ndo nnazojua ..kuna nyingne nying tu zinafanyika..istoshe..kuna company nyng tu za Tz ziko Congo
 
Uganda watawapita kwenye GDP miaka kumi baada ya kuanza kuexport mafuta.
Hata sie tuna $30 bln LNG investment kumbuka gas supports more petrochemical industries than crude oil i. e. steel, fertilizer, plastics production!

And each barrel Uganda exports we will chop some percent around $12.20 plus selling them gas for heating their waxy crude oil!

Tanzania is actually posed to grow with Uganda as it is even investing in their oil refinery n mind u Tanga port is to have largest crude oil storage facility in EA plus crude oil tankers anchorage area.

BTW Tanzania is even trying to chop on ur gas needs for home and industries with Tanga Mombasa gas pipeline as we also know if u r to succeed to build Lamu pipeline u will need gas to heat ur waxy crude oil.
 
Hilo swala linashugulikiwa..Zaidi ya ports 4 mpya ziko zinajengwa...kuna Meli Mbili zitaanza kujengwa soon moja ya mizigo nyngne ya magari...reli inatandikwa to the biggest of 4 ports..CRDB wana plan ya kuingia Congo..hizo ndo nnazojua ..kuna nyingne nying tu zinafanyika..istoshe..kuna company nyng tu za Tz ziko Congo
Over 55% of cargo to DRC inapitia Dar port!
 
Hilo swala linashugulikiwa..Zaidi ya ports 4 mpya ziko zinajengwa...kuna Meli Mbili zitaanza kujengwa soon moja ya mizigo nyngne ya magari...reli inatandikwa to the biggest of 4 ports..CRDB wana plan ya kuingia Congo..hizo ndo nnazojua ..kuna nyingne nying tu zinafanyika..istoshe..kuna company nyng tu za Tz ziko Congo
Asante kwa kunijuza
 
Unajua wana potential ya kuwacha nyie pia...Mafuta huwa yanabidilisha kila kitu..basi tu yana curse ya kuto develop watu sana..angalia nigeria GDP kubwa..maisha ya kule bora niishi Tanzania
Tatizo kubwa la Nigeria ni corruption. Uganda sidhani kama wana corruption kiasi hicho. Lazima mizigo zitafikia wananchi.
 
Uganda watawapita kwenye GDP miaka kumi baada ya kuanza kuexport mafuta.
Wakati Uganda wanaizidi Tz kwenye gdp basi itakuwa ndiyo nchi yenye gdp kubwa zaidi ukanda huu, af usisahau kwamba hilo bomba lao la mafuta linapita kwetu so pesa nyingi pia tutapata lakini vilevile wakati huo Tz nayo itakuwa ishagundua mafuta yake.

Mind u, mafuta ya Uganda nasi pia tutapata pesa nyingi tu plus employment opportunities, lkn mafuta yetu yatakuwa ni yetu pekeetu so unaweza ku guess ni nani atakuwa the leading GDP country in the region btw Tz and Ug.
 
Back
Top Bottom