Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

GDP ni upuuzi mtupu usio na tija unakuta nchi ina gdp kubwa lkn on ground ni upuuzi mtupu mfano Nigeria inazd SA kwa gdp je Nigeria iko mbele ya SA?
😂😂😂 rudi shule kaka tafadhali😂😂 there are many factors for SA n Nigeria's case. Nigeria has a big populace! Nigeria's GDP is bigger than even Israel's., Israel has a population I guess of less than 15M!, you cannot use that to discredit GDP factor😂😂😂 Now Kenya is a smaller country ukilinganisha na Tz both in size n population and even smaller in natural resources, but with a bigger economic output (GDP), n lesser extreme poor people than Tz according to 2020 report why?., bro kuna many factors as to why mko mlivyo na wangine wako walivyo!, it is not about GDP or no GDP., GDP is mere economic output ya nchi in a certain period. Umasikini na hali yako ya maisha ni wewe kuamua kwa asili mia kubwa😂😂😂😂
 
rudi shule kaka tafadhali there are many factors for SA n Nigeria's case. Nigeria has a big populace! Nigeria's GDP is bigher than even Israel's., Israel jas a population I guess of less than 15M!, you cannot use that to discredit GDP factor Now Kenya is a smaller country ukilinganisha na Tz both in size n population, but with a bigger economic output (GDP), n lesser extreme poor people than Tz according to 2020 report why?., bro kuna many factors as to why mko mlivyo na wangine wako walivyo!, it is not about GDP or no GDP., GDP is mere economic output ya nchi in a certain period. Umasikini na hali yako ya maisha ni wewe kuamua kwa asili mia kubwa
tapatalk_1603187425589.jpeg
 
....and Tanzanians are even worse imagin😂😂😂 extreme multidimentional poverty😂😂😂 mnakosea wapi kwa kweli??, hadi roundi hii Ethiopia wako nafuu kidogo kuwashinda😂😂😂 hauna lako kamwe😂😂😂😂. Mliangukia pua kitambo sana! It is your low iq mindset that is your undoing!😂😂😂 pole mtapona siku moja bali sio hii generation yenye wewe uko.
 
....and Tanzanians are even worse imagin extreme multidimentional poverty mnakosea wapi kwa kweli??, hadi roundi hii Ethiopia wako nafuu kidogo kuwashinda hauna lako kamwe. Mliangukia pua kitambo sana! It is your low iq mindset that is your undoing! pole mtapona siku moja bali sio hii generation yenye wewe uko.
Tz ni the really MIC ukanda huu na ndiyo maana tunawaletea chakula mnakula zen mnaenda kunya porini
 
Bro hauoni vile wanatujazia omba omba kote Africa.Annoying😂😂
Huyu The best 007 ukweli hua inamkera sana! Ningekua karibu naye angeninyonga ama kunichinja😂😂😂 Mtz mwenzake akisema ukweli kinyume na fikra duni za watz jamaa hu catch mafeelings deadly!😂😂😂😂 huyu mpe facts ya where Tz is, sio zike fikra zao wanadhani Tz imepaa na bado sana😂😂😂
 
....and Tanzanians are even worse imagin😂😂😂 extreme multidimentional poverty😂😂😂 mnakosea wapi kwa kweli??, hadi roundi hii Ethiopia wako nafuu kidogo kuwashinda😂😂😂 hauna lako kamwe😂😂😂😂. Mliangukia pua kitambo sana! It is your low iq mindset that is your undoing!😂😂😂 pole mtapona siku moja bali sio hii generation yenye wewe uko.
Tatizo uzembe,chuki,ujinga,majungu, umaskini alafu combine na umbeya
Chiii🙆🙆
 
Huyu The best 007 ukweli hua inamkera sana! Ningekua karibu naye angeninyonga ama kunichinja😂😂😂 Mtz mwenazake akisema ukweli kinyume na fikra duni za watz jamaa hu catch mafeelings deadly!😂😂😂😂 huyu mpe facts ya where Tz is, sio zike fikra zao wanadhani Tz imepaa na bado sana😂😂😂
Brt na blue towers zinawafanya wafikiri wameshinda Kenya kimaendeleo
 
It seems tony hakuwa anaijua vizuri Tz ila kupitia Jf kuna kitu amejifunza na ss haamini tena km kenya iko mbele ya Tz na co yeye tu bali Wakenya wengi kwa sasa huwezi waongopea tena na ndiyo maana jubilee inapata tabu sana cz wananchi wanataka yanayofanyika Tz yafanyike pia kenya mana wakiangalia gdp wazungu wamewaweka wao mbele ya Tz lkn wanajiuliza mbn linapokuja suala la projects za kiuchumi tumewaacha mbali? Hapo wanakosa majibu na ndipo wanapokubali kwmb Tz ya ss co ya juzi.
Wakenya wamechoka sana,siku wakipata mzalendo kweli wa kufanya maamuzi magumu moja kati ya maamuzi magumu anayotakiwa kufanya ni kubadili sheria ya umiliki wa ardhi....tunaanza na hapo dadeki.ningekuwa mkenya hakuna kitu kingenikera kama swala la kutuaminisha kwenye miradi isiyotekelezeka,mpk jiwe la msingi linawekwa kbs na Mr President kwny mradi kumbe ni michezo ya kisiasa tu dah leo wameacha mashimo kwenye miradi kibao likiwemo shimo la pinnacle,uongozi unabunya tu jasho la wananchi bwelele tu na wananchi wanalijua hilo.
 
....and Tanzanians are even worse imagin😂😂😂 extreme multidimentional poverty😂😂😂 mnakosea wapi kwa kweli??, hadi roundi hii Ethiopia wako nafuu kidogo kuwashinda😂😂😂 hauna lako kamwe😂😂😂😂. Mliangukia pua kitambo sana! It is your low iq mindset that is your undoing!😂😂😂 pole mtapona siku moja bali sio hii generation yenye wewe uko.
Poverty in Tanzania is apocalyptic
 
Tz ni the really MIC ukanda huu na ndiyo maana tunawaletea chakula mnakula zen mnaenda kunya porini
Sisi ni soko ya wakulima wenu fukara walio mashambani ili wapate pesa ya kununua chumvi na chupi pia., hamna uwezo wa kupeana bure ldc😂😂😂😂 mko kwenye brackets za poverty stricken nation bado, huna la kupigia kelele wewe., mwaga povu yote humu😂😂😂 umekerwa kweli! Lakini ni vile hali ilivyo haitobadilika ata ukipiga nduru! Give it 100 years!
 
Back
Top Bottom