TYWIN LANNISTER
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 854
- 209
nyinyi mulime mahindi na maharagwe tutanunua shida Iko WapiLeo umekula maize ya donation from USAID middle income!
nyinyi mulime mahindi na maharagwe tutanunua shida Iko WapiLeo umekula maize ya donation from USAID middle income!
Hapa vp [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Brt na blue towers zinawafanya wafikiri wameshinda Kenya kimaendeleo
Dar es salaam tunaijua kikamilifu nenda danganya wa Malawi hivi., ama unataka nikupe one stop drone view, mwanzo mwisho ya developed area?😂😂😂😂 hapa nilimalizana na nyinyi hamna jipya kamwe., North, East ,West south Dar is shity! Only the middle area mna rotate vipicha.😂😂 viwanda bado sana ndio mnaanza tu kaka! Tukome tafadhali😂😂😂Hicho ndicho kimetufanya tufike hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1613640View attachment 1613641View attachment 1613642View attachment 1613643View attachment 1613644
Hii building ya blue inaitwaje?Parklands Nairobi
View attachment 1613602
Wapi textiles na apparels nyinyi bado watoto sana mukilinganishwa na KenyaHicho ndicho kimetufanya tufike hapa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1613640View attachment 1613641View attachment 1613642View attachment 1613643View attachment 1613644
Hatujafika level hii amini kwamba [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Poverty in Tanzania is apocalyptic
Heshima muhimu Sana Nairobi pekee ina GDP inayotoshana na GDP ya TanzaniaDar es salaam tunaijua kikamilifu nenda danganya wa Malawi hivi., ama unataka nikupe one stop drone view, mwanzo mwisho ya developed area?😂😂😂😂 hapa nilimalizana na nyinyi hamna jipya kamwe., North, East ,West south Dar is shity! Only the middle area mna rotate vipicha.😂😂 viwanda bado sana ndio mnaanza tu kaka! Tukome tafadhali😂😂😂
Ongezea kibera 😂😂😂😂Hatujafika level hii amini kwamba [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Unaleta picha ya kijijini ya mwaka 60s mm nakuletea picha ya mwaka huu may 2020[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Kwa ground
Na ccm propaganda nyingi Mara tutaipiku Kenya Mwaka 2020 kwenye uchumi aah WapiDomo domo pia kwa wingi😂😂😂
Si kweli sisi tunaangalia uwezo wetu wa kusukuma maendeleo yetu kwa kasi na kwa uhakika. Tanzania iko very strategic kila mahali imejipanga na inaendelea kujipanga sawa sawa!!! Wakati mwingine huwa nawaza mkono wa Mwenyezi Mungu uko juu yetu. Maana kuna mengine unaona kabisa si kwa uwezo wetu.Amiiin.Katika mataifa yote Kenya ndo nchi ya kwanza itakayoinjoi ustawi wetu factors ziko nyingi sana waache kelele kbs.Ndo maana saa ingine huwa tunawatia tia makonzi.😄Brt na blue towers zinawafanya wafikiri wameshinda Kenya kimaendeleo
Kwa hivyo umetazama hio picha nzuri ya parklands ikabidi uende mtandaoni ugoogle picha zote za parklands kisha ukachagua ile mbaya zaidi ndio ukakuja kumwaga hapa? Tabia gani hii?Picha nzuri ila sehemu kubwa ya Parklands nayo ni chafu [emoji116][emoji116]View attachment 1613611
Tanzanian beggars wamejaa Kenya ww ushawahi ona Kenyan beggars in Tanzania
Hii co Kibera usijifanye chizi [emoji3][emoji3][emoji3]Ongezea kibera [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Google mukuru kwa njenga pia uongoze 😂😂😂😂😂Unaleta picha ya kijijini ya mwaka 60s mm nakuletea picha ya mwaka huu may 2020[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1613655
Nani alikUambia Kenya tuko na beggarsHahaha labda beggars wa Kenya are too poor to move, labda beggars wa Tanzania angalau wanaweza kulipa nauli kusafiri, who knows ?
Jibu zuri sana hili [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha labda beggars wa Kenya are too poor to move, labda beggars wa Tanzania angalau wanaweza kulipa nauli kusafiri, who knows ?
This building is beautiful aesthetically naona mnaanza kutuiga sasa na design za glass and steel! big up!Parklands Nairobi
View attachment 1613602
Umesahau baringo floods Google Images uongoze 😂😂😂😂Hii co Kibera usijifanye chizi [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1613656