Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Geza na Tony254
Haya mashambulizi ni 95% lazima yatatokea kama Ethiopia itaendelea na ujeuri wake.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hii ni habari ya June 16 2020. Hii ni hata kabla ya Rais wao Sisi kukiri kwamba Egypt haina mpango wa kupigana vita na Ethiopia kwa sasa na kwamba diplomasia ndio imepewa kipaumbele.

Hii article ni ya June 20 2020. Siku nne baada ya hio article yako kuchapishwa. Maneno ya Sisi ni mazito kushinda maneno ya civil servants katika serikali ya Egypt.

Mpambano unanoga joto la jiwe alikuwa akinionea na data zake!
 
Weka picha ya Kariokoo hapa tulinganishe.
Kkoo hyo apo haya leta ile picha yako
Screenshot_2020-10-15-01-03-31.jpeg
 
Hii ni habari ya June 16 2020. Hii ni hata kabla ya Rais wao Sisi kukiri kwamba Egypt haina mpango wa kupigana vita na Ethiopia kwa sasa na kwamba diplomasia ndio imepewa kipaumbele.

Hii article ni ya June 20 2020. Siku nne baada ya hio article yako kuchapishwa. Maneno ya Sisi ni mazito kushinda maneno ya civil servants katika serikali ya Egypt.

Hakuna nchi yoyote yenye kupanga vita, jambo alilosema Sisi na dunia nzima ni kwamba majadiliano ndio njia bora ya kutatua mgogoro huu, isipokua kama Ethiopia itaendelea kujazwa hilo bwawa kabla ya kufikia muafaka, basi military action itatumika ili kuilazimisha Ethiopia kuacha kulijaza hadi watakapofikia makubaliano, Ethiopia imesema itaendelea kulijaza "regardless" ya mazungumzo.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ukiufuatilia huu mgogoro ulivyo, hata AU pia itakubaliana na Egypt, Ethiopia waneonyesha Kiburi cha hali ya juu sana, ni sawa na Joyce Banda alivyotoa kibali kwa makampuni ya kutafuta gas duniani kuja kutafuta mafuta Mbamba bay na maeneo mengine ya Tanzania bila kutushirikisha akijua wazi kwamba mazungumzo ya upatanishi kati ya Tanzania na Malawi bado hayajafika mwisho.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wewe unajua kweli kwamba HQ ya AU ipo Ethiopia? Ama unadhani kuwa AU watakunya kwenye sahani wanachokulia kila siku?
 
Hahahaha, kwahiyo Ethiopia inaweza kufanya ujinga ipendavyo ikiwemo kuzidungua ndege za Kenya ndani ya Somalia na kuishambulia Kenya kwa kuingiza vikosi vyao ndani ya ardhi ya Kenya na bado AU inyamaze kimya kwasababu HQ ipo Addis?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna nchi yoyote yenye kupanga vita, jambo alilosema Sisi na dunia nzima ni kwamba majadiliano ndio njia bora ya kutatua mgogoro huu, isipokua kama Ethiopia itaendelea kujazwa hilo bwawa kabla ya kufikia muafaka, basi military action itatumika ili kuilazimisha Ethiopia kuacha kulijaza hadi watakapofikia makubaliano, Ethiopia imesema itaendelea kulijaza "regardless" ya mazungumzo.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kwa hivyo kulingana na wewe kulipua bwawa la jirani yako sio war bali ni military action. Kwani hio military action haitasababisha war? Kwani Ethiopia itabomolewa dam kisha wao warudi mezani kama watoto wazuri au watadeclare war? Lazima watadeclare war.
Hivi wewe mtu akitaka urudi mezani uzungumze naye kisha aamue kukupiga ngumi akuvunje meno tatu, hautadeclare war? Lazima utapambana na yeye kwanza. Egypt akifanya hicho kitendo basi kwa mujibu wa Sheria za UN Ethiopia ana haki zote ya kulipiza mapigo aliyopokea. Ethiopia ana haki zote kisheria kulipua Aswan High Dam. Tit for tat is a fair game. Halafu kumbuka world war 1 ilianzishwa kwa sababu mtoto wa mfalme wa nchi fulani alipigwa risasi na kuuawa. Sasa ili vita ianze sio lazima pawe na sababu ya msingi. Vita inaweza kuanzishwa na sababu ya ujinga tu.
 
Back
Top Bottom