ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 72,527
- 133,604
soko au zizi la nguruwe??πππItakuwa anafanya uzinguzi wa soko jipya.
πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
soko au zizi la nguruwe??πππItakuwa anafanya uzinguzi wa soko jipya.
πππ
Hapa ndipo huwa wanachoka ss kila walichonacho nasisi tunacho ila tukileta vyetu ss kujibiwa huwa ngumu
Ulinipa jina la estate gani, mbna unakwepa sindanomm nilishakupa ya mwanza mpaka leo sijapata majibu mwenzio alikimbia humu
Zipo nyingi sana hzo huku Tz na hatuthubutu kulinganisha na kkooHii soko ya Mombasa imefunguliwa? Halafu kumbe ni ya ghorofa duh!
Kwanza kw sasa ni pazuri sana, yani pamegawanywa na four lanes kila upande baada ya upgrade ya hyo barabara..
Mkuu kama unasukuma kete yaniKama hujui Egypt ifanye nini katika hili, sasa mbona unapinga pale Egypt pamoja na USA wakikubaliana kwamba njia pekee ilitobaki ni kulishambulia hilo bwawa?. Wewe na viongozi wa Egypt yupi anajua zaidi umuhimi na hasara za kulipua hilo bwawa?.
Ukweli ni kwamba, there ia no life in Egypt without water from river Nile", hilo bwawa la Aswan huko Egypt linategemea maji ya mto Nile. Kwa kifupi ni kwamba, maji ya mto Nile is a matter of life and death for 90% of Egyotians. Kama Ethiopia itaendelea kujaza bila kufikia makubaliano, Egypt haina "option" isipokua ni kulipiga MABOMU.
Kama Abiy Ahmed ataamua kujibu mapigo kwa kuipiga Egypt badala ya kurudi katika meza ya mazungumzo, atakua ameisaidia Egypt kuichakaza Ethiopia na kuliharibu kabisa hilo bwawa kiasi kushindikana kabisa kufanyika ukarabati siku zijazo. Ni matumaini yangu kwamba Ethiopia itasalimu amri mapema na kurudi katika meza ya mazungumzo kabla ya kudhalilishwa katika vita ambavyo nafasi ya Ethiopia kushinda ni ndogo sana.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Naona umeshaanza kuchanganyikiwa tayarisoko liko mbeya since 2016
πππππππππ siku mombasa itapata suburb kubwa kama hii mm nafunga acc jamii forum wote mashahidi humu ndaniUlinipa jina la estate gani, mbna unakwepa sindano
sindano zimefika tayariπππππNaona umeshaanza kuchanganyikiwa tayari
Inajiitaje basisiku mombasa itapata suburb kubwa kama hii mm nafunga acc jamii forum wote mashahidi humu ndani
View attachment 1611623View attachment 1611624View attachment 1611625View attachment 1611626View attachment 1611627View attachment 1611628View attachment 1611629View attachment 1611630
sindano zimefika tayari
Inajiitaje basi
Mbona waogopa
Unajua Aswan High Dam...inavyosaidia kwenye irrigation ya Egypt....achana na umeme maana thats just a pinch...wanaitumia sana..kwa irrigation..inaweza tunza maji hata ya miaka miwili...sasa je Ethiopia ikirudisha bomb..aswan..si hasara na ukameKama hujui Egypt ifanye nini katika hili, sasa mbona unapinga pale Egypt pamoja na USA wakikubaliana kwamba njia pekee ilitobaki ni kulishambulia hilo bwawa?. Wewe na viongozi wa Egypt yupi anajua zaidi umuhimi na hasara za kulipua hilo bwawa?.
Ukweli ni kwamba, there ia no life in Egypt without water from river Nile", hilo bwawa la Aswan huko Egypt linategemea maji ya mto Nile. Kwa kifupi ni kwamba, maji ya mto Nile is a matter of life and death for 90% of Egyotians. Kama Ethiopia itaendelea kujaza bila kufikia makubaliano, Egypt haina "option" isipokua ni kulipiga MABOMU.
Kama Abiy Ahmed ataamua kujibu mapigo kwa kuipiga Egypt badala ya kurudi katika meza ya mazungumzo, atakua ameisaidia Egypt kuichakaza Ethiopia na kuliharibu kabisa hilo bwawa kiasi kushindikana kabisa kufanyika ukarabati siku zijazo. Ni matumaini yangu kwamba Ethiopia itasalimu amri mapema na kurudi katika meza ya mazungumzo kabla ya kudhalilishwa katika vita ambavyo nafasi ya Ethiopia kushinda ni ndogo sana.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hiyo Aswan dam itapata maji toka wapi kama Ethiopia wataendelea kujaza hilo bwawa lao?.Unajua Aswan High Dam...inavyosaidia kwenye irrigation ya Egypt....achana na umeme maana thats just a pinch...wanaitumia sana..kwa irrigation..inaweza tunza maji hata ya miaka miwili...sasa je Ethiopia ikirudisha bomb..aswan..si hasara na ukame
Sawa. Sitaki kuargue kuhusu jambo hili. Amini unachotaka na mimi nitaamini ninachotaka. Kwenye hii debate hakuna anayekubali kushindwa.Kama hujui Egypt ifanye nini katika hili, sasa mbona unapinga pale Egypt pamoja na USA wakikubaliana kwamba njia pekee ilitobaki ni kulishambulia hilo bwawa?. Wewe na viongozi wa Egypt yupi anajua zaidi umuhimi na hasara za kulipua hilo bwawa?.
Ukweli ni kwamba, there ia no life in Egypt without water from river Nile", hilo bwawa la Aswan huko Egypt linategemea maji ya mto Nile. Kwa kifupi ni kwamba, maji ya mto Nile is a matter of life and death for 90% of Egyotians. Kama Ethiopia itaendelea kujaza bila kufikia makubaliano, Egypt haina "option" isipokua ni kulipiga MABOMU.
Kama Abiy Ahmed ataamua kujibu mapigo kwa kuipiga Egypt badala ya kurudi katika meza ya mazungumzo, atakua ameisaidia Egypt kuichakaza Ethiopia na kuliharibu kabisa hilo bwawa kiasi kushindikana kabisa kufanyika ukarabati siku zijazo. Ni matumaini yangu kwamba Ethiopia itasalimu amri mapema na kurudi katika meza ya mazungumzo kabla ya kudhalilishwa katika vita ambavyo nafasi ya Ethiopia kushinda ni ndogo sana.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kwan unahisi ethiopia hana Fighter jets..? ..wote egypt na Ethiopia wanazo...ndo hvyo ni swala la ku negotiate sio vita...egypt akimwaga mboga/ugali ethiopia hatokubali watafanya hvyoHiyo Aswan dam itapata maji toka wapi kama Ethiopia wataendelea kujaza hilo bwawa lao?.
Kuhusu Ethiopia kulishambulia Aswan dam, Ethiopia haina uwezo wa kupiga sehemu yoyote ndani ya Egypt, ni sawa na kusema Tanzania tuna uwezo wa kulipua Victoria Falls, hatuna ndege wala Ballistic missiles zenye uwezo za kufika huko.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app