Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha, hiki ni kichekesho, wazee wa kupenda kujisifu hawa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Wakenya kidizain km hawaamini wanachokiona hapa Jf mana waliongopewa mno wakadhani yale wanayoyaona mitandaoni ndiyo ukweli wenyewe kumbe on ground wanakuja kugundua tumewaacha mbali mno
Hii inawauma Sana,alafu kila tunachofanya kinawafunika mbali Sana,mfano SGR,brt,nk.wamekuja kugundua too late wako frustrated Sana.
 
Biden hawezi kukubali!
Ukiufuatilia huu mgogoro ulivyo, hata AU pia itakubaliana na Egypt, Ethiopia waneonyesha Kiburi cha hali ya juu sana, ni sawa na Joyce Banda alivyotoa kibali kwa makampuni ya kutafuta gas duniani kuja kutafuta mafuta Mbamba bay na maeneo mengine ya Tanzania bila kutushirikisha akijua wazi kwamba mazungumzo ya upatanishi kati ya Tanzania na Malawi bado hayajafika mwisho.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
IMG_1603610484.759116.jpg
 
Back
Top Bottom