Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hamuwezi muona kwasababu kashaamini kua bangi inavutwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna uzi aliniita mwenyewe lkn baada ya ku comment tu akasema namchonganisha na Wakenya wenzake hivyo akaniambia nikirudia tena anahama Jf ss mm wala ckumjibu cz ckutaka kuonekana 7bu ya yeye kuleft yn anataka kunifanya mm scapegoat wake[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nifumbue macho. Tanzania katika ugomvi huu tunapata faida ipi!?
Tanzania ni nchi inayotatua ugomvi na majirani kidiplomasia.
Mkuu venus subiri kidogo jibu utalipata mkuu we kuwa na subira ila juwa kwmb interests zpo tena kubwa sana [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Key word ni "market complex". Neno "business park" lisikuchanganye. Hili ni soko kama lenu la Kariokoo. Jifunze kusoma bila kukurupuka.

Cc Geza Ulole
 
Back
Top Bottom