ichoboy01 hivi ile $3bln 473 km express Highway ya Nairobi Mombasa ilikuwa iwe na lane ngapi vile? naona Bechtel alikuwa awapige tena!
![]()
Bechtel and Kenyan government to discuss financing of $3bn highway project
American construction giant Bechtel is due to meet the Kenyan government as the two parties seek to find a financial solution to a massive highway proje...www.constructionglobal.com
Nataka kuangalia value of money! Nina uhakika Nairobi-Mombasa hamna tunnels!
Haiya walikuwa wapigwe tena this time na Mmarekani! Aisee wasinge-cancel!walisha cancel hio imebaki render bro siunajua ni wazee wakukurupuka tu 😂😂
Unajua mkuu mm bado nashindwa kuelewa hv ile express way waliyokuwa wanaweka picha humu ndiyo hyo wamei cancel auu?walisha cancel hio imebaki render bro siunajua ni wazee wakukurupuka tu![]()
Maisha ya mkenya ni kama mtu anaeng'aa uso huku ana ukurutu na kunuka pumbu. Maisha yao feki sanaIs this trueeee???? Ooohhh God I thought apartheid kinda bullshit ziliishia South Africa ,, kumbe kwa jirani hapo juu haya mambo yapo daaa... Sad
Geza, hapa hakuna vita kwasababu hakutokua na direct confrontation kati ya majeshi ya hizi nchi mbili, Egypt watakachofanya ni kutuma ndege, drones au missiles, na Ethiopia ni kuzitungua, zaidi ni maandamano ndani ya Ethiopia kupinga mashambulizi ya Egypt.i hope u r not classifying Egyptians as caucasian! Mi nachojua vita ikizuka kati ya hawa jamaa ISIS wanapata makazi mapya EA!
Mbona hawalipui hilo bwawa? Ili tuone reaction ya Ethiopia and the whole horn of Africa region? Greenlight ya Trump inaenda ku-expire hivyoo!Geza, hapa hakuna vita kwasababu hakutokua na direct confrontation kati ya majeshi ya hizi nchi mbili, Egypt watakachofanya ni kutuma ndege, drones au missiles, na Ethiopia ni kuzitungua, zaidi ni maandamano ndani ya Ethiopia kupinga mashambulizi ya Egypt.
Lengo kuu la Egypt ni kuilazimisha Ethiopia kurudi katika meza ya mazungumzo, kitu ambacho lazima Ethiopia itarudi katika meza ya mazungumzo (kwa heri au kwa shari), vinginevyo hilo bwawa halitozalisha umeme.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Naweza nikatabiri kama Ethiopia itaendelea hivi, msimu ujao wa kiangazi wa Egypt, lazima Mashambulizi yataanza, hakuna jinsi labda Ethiopia wasimamishe kulijaza hilo bwawa. Hata Ethiopia wanajua hivyo ndio sababu wamepiga marufuku ndege kuruka katia hilo eneo.Mbona hawalipui hilo bwawa? Ili tuone reaction ya Ethiopia and the whole horn of Africa region? Greenlight ya Trump inaenda ku-expire hivyoo!
Halafu source yako Opera! Unaniangusha mzee!Naweza nikatabiri kama Ethiopia itaendelea hivi, msimu ujao wa kiangazi wa Egypt, lazima Mashambulizi yataanza, hakuna jinsi labda Ethiopia wasimamishe kulijaza hilo bwawa. Hata Ethiopia wanajua hivyo ndio sababu wamepiga marufuku ndege kuruka katia hilo eneo.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Opera pia kuna habari za kuaminika mkuu tusibeze kihivyo.Halafu source yako Opera! Unaniangusha mzee!
wasicancel vp wakat nchi imekufa tayar hata marekani ameshtuka 😂😂😂😂Haiya walikuwa wapigwe tena this time na Mmarekani! Aisee wasinge-cancel!
hapana walio cancel ni mombasa to nairobi express way hio ndio imekufaUnajua mkuu mm bado nashindwa kuelewa hv ile express way waliyokuwa wanaweka picha humu ndiyo hyo wamei cancel auu?
hapana walio cancel ni mombasa to nairobi express way hio ndio imekufa



kama mtu anasema hii ni ultra moder business park hvi kweli mutasema bangi haivutwi 😂😂👇👇
Ndo nakushangaa Opera news!
Halafu source yako Opera! Unaniangusha mzee!
wasicancel vp wakat nchi imekufa tayar hata marekani ameshtuka 😂😂😂😂