xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,301
- 5,379
basi tuu sema emotion 😥😥😥😥 zilizidiachana na changu huyo hajui kitu.
basi tuu sema emotion 😥😥😥😥 zilizidiachana na changu huyo hajui kitu.
Ckatai kitu ambacho najua Magaidi walivamia mtwara mkaficha habari 😂😂😂😂achana na changu huyo hajui kitu.
Magufuli anaficha habari mtajuaje 😂😂😂nyie hadi Rais anatetemeka.. sisi raia kwanza wengi wetu hata hatuna habari nao..
sisi hao tunaita panya road
Ckatai kitu ambacho najua Magaidi walivamia mtwara mkaficha habari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba jina basimsaidie mwenzako kakimbia mpaka leo haonekani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
.basi tuu sema emotion 😥😥😥😥 zilizidi
Mainstream media haikusema hyo habariumezijulia wapi kama tulificha!!!!!
Hahaa!!lete jina ya hyo suburb basivideo za kupiga sehemu moja nzuri alaf unaacha sehemu kubwa haitamaniki [emoji23][emoji23]
.
Mainstream media haikusema hyo habari
Halafu habari mbaya yeyote kuhusu Tanzania magufuli na ccm wanacensor dunia yote inawatambua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 Hohohohoho covid inawafahamu na mnakopa pesa kukabiliana na covid 😂😂😂😂tofauti yetu na nyinyi ni kihelehele[emoji1787][emoji1787].
nyinyi wanaume hamjui hata ni habari zipi za kutangaza na zipi za kukausha kwa ajiri ya maslahi ya taifa.hata covid mlisema tunaficha tutaumbuka,badala yake covid imejuta kutufahamu.
hao wahuni nikikwambia saa hii wako wanafilika hutaamini pia.
Yani eti rais ashindwe kukanyaga sehemu flani katika ardhi kisa hao jamaa..Hizi ni njama za manguruwe ya west ili Magu asiende kupiga kampeni Kusini, we unafikiri raia wa hayo maeneo watauaje watu wa jamii yao? Walijaribu kwenye mapango Tanga wakapukutishwa, wakajaribu pwani wakapotezwa na hapo wamechokoza. Usisahau kuwa inapokuja swala la ground force tuko vizuri kuliko hata wanavyoturate.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hohohohoho covid inawafahamu na mnakopa pesa kukabiliana na covid [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna tufiche Sasa [emoji23][emoji23][emoji23] na shambulizi lishafanyika inafaida gani na nani anafaidika hao mawazo ni ya ccm na magufuli pekee Sema ukweli na utakueka huru [emoji23][emoji23]
C magufuli alificha ww umeona habari kuhusu shambulizi la kigaidi mtwara likitangazwa Tanzania 😂😂😂😂nani anaficha wewe kiazi!!!!nimekuuliza umejuaje kama tuliamua tufiche????
nani ameomba pesa ya kukabiriana na covid kama sio mlevi wa nairobi???
Acha maneno ya kitoto. Angeenda kwenye ile shule ambayo wanafunzi walitekwa na al-shabaab akaongee na wanafunzi kabla msala haujaisha au angetembea bila escort basiHaiya. Siasa yenu kweli mbaya,no democracy at all,magu anatakiwa kifika eneo kote anapojihisi kufika,Uhuru hakuna mahali hawezi tembea hapa Kenya,anapendwa na wote
Wadhamini kidogoWe naona umebanwa na haja kubwa nenda kakate gogo kwanza halafu uje
C magufuli alificha ww umeona habari kuhusu shambulizi la kigaidi mtwara likitangazwa Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka link ama [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanajeshi na sio raia sioYani eti rais ashindwe kukanyaga sehemu flani katika ardhi kisa hao jamaa..
Duh!!kwn security yake ipo down kiaje huku uhuru na generali wa jeshi wanatinga somalia watakavyo tena wanapata na nafasi ya kuhutubia wanajeshi kabisa...
Sababu ya kijinga sana hyo
International mediakwani hizi taarifa umezitoa wapi???
International media
hzo zenu Kama hawaimbi wimbo wa magufuli zinafungwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mozambique: Cabo Delgado Terrorists Attack Tanzaniainternational zinasema raia wangapi wamefariki??
Mozambique: Cabo Delgado Terrorists Attack Tanzania
Fungua link usome [emoji23][emoji23][emoji23]