Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

umejuaje nina hasira,au hiyo pia international media zimekwambia.

nyie mko na umbea sana.
Umbea gani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyie hamupendi ukweli mkiambiwa munaanza vijisababu
usisahau Tanzania ni miongoni wa nchi znazoongoza umaskini wa kutupwa Africa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hohohohoho covid inawafahamu na mnakopa pesa kukabiliana na covid πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbna tufiche Sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na shambulizi lishafanyika inafaida gani na nani anafaidika hao mawazo ni ya ccm na magufuli pekee Sema ukweli na utakueka huru πŸ˜‚πŸ˜‚
hujui kiswahili sindioπŸ˜‚πŸ˜‚ hata loan hujui ilichukuliwa kwa ajili ya nn
 
Umbea gani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyie hamupendi ukweli mkiambiwa munaanza vijisababu
usisahau Tanzania ni miongoni wa nchi znazoongoza umaskini wa kutupwa Africa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
na usisahau tanzania imeingia middle income na usisahau tanzania haina njaa huku unemployment rate yake ni ndogo zaidi east and central africa huku ikiwa na watu wengi east aftica

eka akilini hioπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
hujui kiswahili sindio hata loan hujui ilichukuliwa kwa ajili ya nn

mim nawaambiaga watu.. ningekuwa mwanasiasa mkenya.. ningekuwa tajiri sana sio kwa uzembe wa raia wao.. mana raia zao wanaona kitu cha kawaida sana kiongoz kula mali za umma.. na ningekula zaid hata kuliko rais wao
 
Umbea gani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyie hamupendi ukweli mkiambiwa munaanza vijisababu
usisahau Tanzania ni miongoni wa nchi znazoongoza umaskini wa kutupwa Africa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
tanznaia huwezi kuta binaadamu wanaishi maisha ya nguruwe never ever so hapo kwa kutumia akili utaelewa na zungumza mnπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
6E8D9DC1-C859-46E6-8774-992F97AE85D4.jpeg
 
Unaiongeleaje the US?
Na ndiyo nchi pekee iliyoendelea chini ya kivuli cha democracy lkn pia nao democracy iliwachelewesha mno kuwa developed japo uzalendo uliwasaidia sn, ss kwa nchi zetu za kiafrika ni ngumu sana kuendelea chini ya kivuli cha democracy cz hatuna uzalendo kutokana na njaa inayitusumbua.

Mkuu US ilishaendelea na hata kipindi chao cha democracy wamewaongezea sana muda viongozi waliofanya vizuri, mfano mzuri ni yule aliekaa mpaka akafia madarakani, mwingine ni bush na wengineo ambao hatuwajui

Tusisahau kuwa maendeleo hayo hayakuletwa na "domokrasia" bali udikteta wa hali ya juu, tena kwa miaka zaidi ya 200 ya free labor (utumwa). Pia wanawake hawakuruhusiwa kupiga kura mpaka 1920.
 
mim nawaambiaga watu.. ningekuwa mwanasiasa mkenya.. ningekuwa tajiri sana sio kwa uzembe wa raia wao.. mana raia zao wanaona kitu cha kawaida sana kiongoz kula mali za umma.. na ningekula zaid hata kuliko rais wao
kwao wizi ni laana waliochiwa na kenyatta sasa its normal πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio maana tribalism inakula nyama zao leo wamekuja na fake BBI kudanganya wakenya siasa zinaanza 2020 wakat uchaguzi 2022 yani watu wanapoteza 2good yrs kwenye siasa
 
Back
Top Bottom