Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi ni njama za manguruwe ya west ili Magu asiende kupiga kampeni Kusini, we unafikiri raia wa hayo maeneo watauaje watu wa jamii yao? Walijaribu kwenye mapango Tanga wakapukutishwa, wakajaribu pwani wakapotezwa na hapo wamechokoza. Usisahau kuwa inapokuja swala la ground force tuko vizuri kuliko hata wanavyoturate.
Haiya. Siasa yenu kweli mbaya,no democracy at all,magu anatakiwa kifika eneo kote anapojihisi kufika,Uhuru hakuna mahali hawezi tembea hapa Kenya,anapendwa na wote
 
Ila nimemsikia Dotto akisema hivyo viwanja vyote vitaruhusu dreamliner kutua
Sasa ukisikia ujishughulishi kuchunguza ukweli kutokana na design specifications? Hivi unajua runway length at sea level area needs a less distance compared to high altitude area?
 
Kaka waarabu wanaringia mafuta yao ndio sababu hawapewi kibano sana, sisi tunaotegemea kila kitu toka kwao pamoja na soko la mazao yetu, sio rahisi sana kuwadindia.
Hivi kwa mfano helium gas huko mbeleni inategemewa kuwa shida duniani, sasa hivi kila mtu anatupia macho reserve ya Tanzania.
Tukikomaa itatutoa ila m
Democracy does not exist in the world.
True, I wanted to say the same.
 
Back
Top Bottom