Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,704
- 107,147
Ukiona mahala kuna small shops basi jua hapo kuna residenceHaha,hapo umeona nyumba gani za kuishi,just small shops
Residents bas ni hiziUkiona mahala kuna small shops basi jua hapo kuna residence
😀 Kweli nyani haoni kundule, mbona nyie manzese sokoni hua mnaita slum wakati ni small shops na vibanda vya kivuli kwa vibiasharaHaha,hapo umeona nyumba gani za kuishi,just small shops
New innovation; a train that can operation on different width of a raitrack i.e. all gauge widths!
Hata bila ya ku-electrify TAZARA huyu 👇 anaweza tumika akiwa na "gauge changing bogies"!So hii inaweza kutufanya tuelecrify TAZARA na kuchomelea viungio, ingawa swala la speed litategemea na kona swala alilofeli muingereza
Hizi ni njama za manguruwe ya west ili Magu asiende kupiga kampeni Kusini, we unafikiri raia wa hayo maeneo watauaje watu wa jamii yao? Walijaribu kwenye mapango Tanga wakapukutishwa, wakajaribu pwani wakapotezwa na hapo wamechokoza. Usisahau kuwa inapokuja swala la ground force tuko vizuri kuliko hata wanavyoturate.
Hii quote iko poa Sana👆👆🇹🇿🇹🇿 wakenya kujeni hapa tuzungumze hii maneno“They have lockdown, we don’t have lockdown, they are not working, we are working, they are not recovering, we are recovering,” says Itembe from Azania Bank. “This is the big difference between Tanzania and the rest of the world and East Africa.”
International airport lazma iwe na uwanja wenye runway ya urefu zaidi ya 2500 m! Hapo Dar, Dodoma (after current extension not sure though if altitude will qualify the runway), Kilimanjaro, Mwanza, Songwe, Mtwara (after current extension), Msalato (from design specifications) na Zanzibar! Hivyo vingine si international according to IATA n ICAO standards! Mfugale kaelezea hivi vingine vitakuwa na urefu gani!
Nilipita Dodoma airport juzi nilikuta kuna upanuzi unafanyika.Ila nimemsikia Dotto akisema hivyo viwanja vyote vitaruhusu dreamliner kutua
[emoji2369] aisee nina uhakika matumizi ya Uwanja wa Bukoba hata nusu ya capacity yake hayajafika! Ngoja nicheki nondo!
Uwanja una capacity ya 500,000 PAX per annum na nina amini haujafika abiria 150,000 kwa mwaka mpaka sasa kwa mwaka! Actually so far less than 40,000 PAX per year!
Hapana aisee.Na Nshomile wanavyosahau kwao would have been a big time wastage of funds! ungeota uyoga na buibui!