Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tusisahau kuwa maendeleo hayo hayakuletwa na "domokrasia" bali udikteta wa hali ya juu, tena kwa miaka zaidi ya 200 ya free labor (utumwa). Pia wanawake hawakuruhusiwa kupiga kura mpaka 1920.
Wacha ligi zisizo na kichwa wala miguu! Utumwa ulikuwapo kila mahali hata nchi za kifalme! Huwezi kui-discredit the US kwa utumwa halafu ukaiacha UK au nchi yoyote duniani kipindi hicho!
 
rudi page za nyuma mbona rahisi tu [emoji3][emoji3]
Huwezi manake walijua hilo ndio manake unakwepa nisikukamate[emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ukileta jina la hyo suburb uliyotuma picha zake[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
rudi page za nyuma mbona rahisi tu [emoji3][emoji3]
Ama wacha nikusaidie,
Kati ya hzo pichwa umeleta nakujisifia ya kwamba ndio suburb kubwa mwanza..
Ni gani hapo[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
20201023_233009.jpg
20201023_233108.jpg
 
Jiangalie mko wapi ingekuwa hivyo mngekuwa na flight zenu directly from dar!

Hapana mzee hebu pitia source zako vzr.

Hizo data ulizoleta zinaishia mwaka 2013 . bukoba airport kabla hata haijajengwa . bukoba kulikuwa na airstrip ndogo Tu na ndege ndogo ndo zilizokuwa zinatua Tu hapo.
Na abiria wengi wa bukoba waliishia mwanza na kupanda meli.

Lakini baada ya uwanja kujengwa na kupanuliwa na kuwa na runway 1.7 km ( na upanuzi bado unaendelea ili walau ufikie 2 na ushee km . Kuna nyumba zimewekewa X) abiria wa bukoba wamekuwa wengi zaidi na Kwa sasa ni moja ya busiest airport in Tanzania.

Mashirika ya airTanzania, precision na auric yanaenda mara mbilimbili bukoba kila siku. Na Hadi fastjet walishaanza kwenda bukoba kabla hawajafirisika.

Tanzania hapa takwimu kutoka TAA bukoba ni uwanja wa Tatu Tanzania Kwa daily abiria Kwa viwanja vya ndani Tanzania bara.
Screenshot_20201024-054315.jpg
 
View attachment 1610092
Hili me mwenyewe nalijua, Bukoba ni soko zuri la Airtanzania
 
Huwezi manake walijua hilo ndio manake unakwepa nisikukamate[emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ukileta jina la hyo suburb uliyotuma picha zake[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
sina muda wakubishana na mpuuzi

u mean this or???😂😂👇👇👇
unataka jina la hii au???
na siku utapata suburb kubwa kama hii mombasa mm nafunga acc jamii forun mark my words
5C64635A-0011-4E73-9237-91FE4178A7BD.jpeg
34D40421-D46C-42BA-9499-C6FB8E6FA50D.jpeg
4B02A378-5FA6-4C5C-9FF0-4EEA68E8F2C5.jpeg
EF052693-3F69-4E6D-958D-D221DB503EA7.jpeg
BFB4822E-D987-472B-924A-CA6B52F6E7DB.jpeg
A0E30A8D-4621-49B5-8853-12E2A6307293.jpeg
7CAA15D9-9A80-4A79-B2DF-621972BBB9EE.jpeg
2FD437F6-388B-4621-B298-8A2B3942CA38.jpeg
AF9FF94C-B486-4567-A467-BA3F2A8A10BD.jpeg
 
Back
Top Bottom