Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jina c shida Isis, alshabaab, al qaeda wote ni Magaidi na mlicheka Kenya Sana
Wacha tuone jinsi superpower Tanzania itapambana na magaidi
sisi sio waoga na hatukimbii kama nyie
kwetu ukifa unapambania nchi we ni shujaa
nmepoteza best friend akiwa front kupambania nchi "I wish I was there......

subirieni show ianze nakuhakikishia 6month to come hawatakuwapo wa kutishia usalama wa taifa langu tanzania

save this!!
 
Tuko hapa hapa hata mm nataka muwashinde lkni hakuna nchi ambayo imeshinda ugaidi duniani
Ccm wamewaambia mumeshinda corona na upande mwingine magufuli anaomba loan kudhibiti corona watanzania mtanimaliza
Hahahaha, akili zenu finyu ndio sababu kila kitu kinawashinda, sasa kama ugonjwa tumeushinda ndio tusichukue hatua ya kuhakikisha kwamba haurudi tena toka kwa majirani zetu ambao wameshindwa kuudhibiti kama Kenya?, lazima hatua zote za kudhibiti maambukizi ziendelee ili kuhakikisha hamtuambukizi Corona

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
sisi sio waoga na hatukimbii kama nyie
kwetu ukifa unapambania nchi we ni shujaa
nmepoteza best friend akiwa front kupambania nchi "I wish I was there......

subirieni show ianze nakuhakikishia 6month to come hawatakuwapo wa kutishia usalama wa taifa langu tanzania

save this!!
Nishasave usijali
Wacha tutegea show
Mlicheka Kenya Sana
 
Hahahaha, akili zenu finyu ndio sababu kila kitu kinawashinda, sasa kama ugonjwa tumeushinda ndio tusichukue hatua ya kuhakikisha kwamba haurudi tena toka kwa majirani zetu ambao wameshindwa kuudhibiti kama Kenya?, lazima hatua zote za kudhibiti maambukizi ziendelee ili kuhakikisha hamtuambukizi Corona

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mumeshinda corona na munachukua mikopo kupambana na corona ww vipi 😁😁😁
 
na ntaendelea kuwacheka aiwezekan askar awakimbie wenzie au aibe mikate
Cheka tu 😂😂😂 ila saa hii wembe ni Ule Ule
Wanajeshi wa magufuli wanachinjwa na Magaidi wa msumbuji duh 😂😂😂😂
Mnaficha habari munadhani dunia haitajua 😂😂😂😂
 
huijui tanzania wewe.....
hata mambo ya usalama huyaelewi wewe.....
we baada ya miezi 6 njoo apa
can't share all I know ila trust me 'npo jikoni!!
by d way nkisema nkanyage baati mbaya nkulipue maksudi unanielewaje?
 
si kweli tofaut na vijiji ujue ni fake news
Hahahaha😂😂😂😂 hamuezi kubali najua hivyo wakati mwingine magaidi wakibisha tena mufiche habari vizuri 😂😂😂
 
huijui tanzania wewe.....
hata mambo ya usalama huyaelewi wewe.....
we baada ya miezi 6 njoo apa
can't share all I know ila trust me 'npo jikoni!!
by d way nkisema nkanyage baati mbaya nkulipue maksudi unanielewaje?
Nitakua hapa baada ya miezi 6 kwa majiliwa ya maulana
 
Back
Top Bottom