Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi kwa mfano helium gas huko mbeleni inategemewa kuwa shida duniani, sasa hivi kila mtu anatupia macho reserve ya Tanzania.
Tukikomaa itatutoa ila m

True, I wanted to say the same.
Hicho ni kitu kidogo sana, sio muhimu kwa uchumi wa nchi zao, dunia inaweza kuishi bila Helium gas na maisha wa uchumi usitetereke

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Jina c shida Isis, alshabaab, al qaeda wote ni Magaidi na mlicheka Kenya Sana
Wacha tuone jinsi superpower Tanzania itapambana na magaidi
Tafadhali tunaomba msijekubadilisha maneno, lazima mtasema hawa sio kama Alshaabab ndio sababu tumewashinda. Tumeweza kuishinda Corona wakati nchi Kubwa duniani zimeshindwa, hatuwezi kushindwa kupambana na Magaidi.Tutawacharaza hadi wachakae, sisi sio Kenya.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hohohohoho mnawasambaritisha na venye wanawachinja kama kuku mtwara
gaidi ni gaidi umuchokoze usimuchokoze
atakushambulia tu
Wamevamia raia sio wanajeshi, sasa subiri muone umahiri wa JW. Sisi sio ninyi ambapo Alshabab wanaingia Kenya zaidi ya mara 100 sasa. Subiri utaona kama watagusa tena ardhi ya tanzania, tutawafuta katika uso wa dunia

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kwani kna ubaya upper hill ikionekana?is part of Nairobi and close neighbour to kilimani,nikama upanga na hio cbd yenu
nimesema tu imeonekana hapo manake usije sema kilimani pekee wakat ni two in one 😂😂😂 nimekuwahi tu

nairobi ni ndogo sio kwamba eti iko karibu
from CBD to westland 3km
from CBD to upperhill 3km so utaongea nn wewe
 
Tafadhali tunaomba msijekubadilisha maneno, lazima mtasema hawa sio kama Alshaabab ndio sababu tumewashinda. Tumeweza kuishinda Corona wakati nchi Kubwa duniani zimeshindwa, hatuwezi kushindwa kupambana na Magaidi.Tutawacharaza hadi wachakae, sisi sio Kenya.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Tuko hapa hapa hata mm nataka muwashinde lkni hakuna nchi ambayo imeshinda ugaidi duniani
Ccm wamewaambia mumeshinda corona 😁😁😁😁 na upande mwingine magufuli anaomba loan kudhibiti corona watanzania mtanimaliza 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom