komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Udzangamika msenangu[emoji23][emoji23][emoji23]umekasirika tayari au???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Udzangamika msenangu[emoji23][emoji23][emoji23]umekasirika tayari au???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona hapa ukapita kmy kmy [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha!!kwn ilikua hutaki tuyalipe
Yah mpk ss tumetumia 1% only ya akili na ndiyo tumefanya haya mambo ambayo hayapatikani East and Central of Africa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1606334View attachment 1606335View attachment 1606336View attachment 1606338View attachment 1606339
Jamaa hawajielewi aisee, wanajua life span ya hvyo vitu ama ni kubwata tuBana wanashout loud sana
Ni kama maskini kumcheka mtu anayeendesha secondhand Rangerover ama german machine[emoji23]
Alaaa!!basi ndio mjipange kw lolote, manake zile ITX, KTX na KOrail nilizichambua kw sana..Tz ina usiri mkubwa ktk kufanya mambo yake, usikute hili jambo hata viongozi wakubwa serikalini hawajui ni za aina gn.
We bwege kweli manufacturer huwa anamsikiliza client anataka nn.Alaaa!!basi ndio mjipange kw lolote, manake zile ITX, KTX na KOrail nilizichambua kw sana..
Treni zinazoendana kulingana na design yenu na zile mlizopost youtube huenda haziendani na design ya reli yenu
Mi sai hata mtumba wa BMW X6 2015 naukwapua, mbna condition yake itakua nzuri na utakaa snaa mwishowe unauza kw mpunga mzuri unachukua bima ingineMtumba wa kukoka kwa kuni huoooo! [emoji3516]
Mambo madogo sana hayo[emoji23][emoji23]Yah mpk ss tumetumia 1% only ya akili na ndiyo tumefanya haya mambo ambayo hayapatikani East and Central of Africa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1606334View attachment 1606335View attachment 1606336View attachment 1606338View attachment 1606339
Naona bado unaskia uchungu tukilipaNaona hapa ukapita kmy kmy [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna mtu Tony254 alidai France nao walinunua mtumba nimemuomba evidence hajanipa!Mi sai hata mtumba wa BMW X6 2015 naukwapua, mbna condition yake itakua nzuri na utakaa snaa mwishowe unauza kw mpunga mzuri unachukua bima ingine
Shenanigan wa mombasani katika ubora wake 😅😅Hahaha!!kwn ilikua hutaki tuyalipe
Which Bank specifically unazungumzia kilaza? 😂😂😂 internal borrowing unaelewa maana yake kweli ? How can Japan kopesha itself? Kenya hakuna kitu kinaitwa BANK OF KENYA, hehehehe , kuna commercial banks within the country that can loan the gov't.., unaropokwa tu ovyo ovyo😂😂😂😉 this time round mmebaki kutapatapa tu, hamna lolote😂😂😂😂Hahahaha Japan inakopa kwenye central bank of Japan, ninyi Bank of Kenya haina hata pesa ya kununua officepins ndio iwe na pesa ya kukopesha serikali? 😁😁😁
Japan's debt is unfathomably large. According to the Bank of Japan (BoJ) the main state creditor, at the end of 2019 it stood at 1,328,000,000,000,000 yen.Which Bank specifically unazungumzia kilaza? 😂😂😂 internal borrowing unaelewa maana yake kweli ? How can Japan kopesha itself? Kenya hakuna kitu kinaitwa BANK OF KENYA, hehehehe , kuna commercial banks within the country that can loan the gov't.., unaropokwa tu ovyo ovyo😂😂😂😉 this time round mmebaki kutapatapa tu, hamna lolote😂😂😂😂
Tumewatoa povu nadhani leo pesa za MATAGA zitakatizwa kwa nusu. Watu wajinga sana hawajielewi.Which Bank specifically unazungumzia kilaza? 😂😂😂 internal borrowing unaelewa maana yake kweli ? How can Japan kopesha itself? Kenya hakuna kitu kinaitwa BANK OF KENYA, hehehehe , kuna commercial banks within the country that can loan the gov't.., unaropokwa tu ovyo ovyo😂😂😂😉 this time round mmebaki kutapatapa tu, hamna lolote😂😂😂😂
Kwhyo nikuulize ndio mumeenda kuuzia design mnazotaka nini hata hamtojali miundombinu mliowekezw katika sgr yenu sio..We bwege kweli manufacturer huwa anamsikiliza client anataka nn.
Dah yaani wewe Dada shenanigan ni hatari, hizi akili huwa unazilokota wapi maeneo hayo ya mombasani? 😅😅😅Emu rudia tena..flyover mbili ndio zimekupa hicho kiburi tena moja ni donation kutoka japan[emoji23][emoji23]
Ama ni yale masoko ya donation mnayojengewa..
Mnafikiria hatujui km mnajengewa vitu km msaada hko kwenu
Wanakopa commercial loan kujenga sgrIkapi ya Uganda? Nyie si mlikopa kutoka stanbic bank juzi tu😂😂
Mtarudi tena
Kwa hivyo unakubali Japan wawe na debt "unfathomably large" lakini Kenya tukipandisha deni mnalia ehn? 😹😹Japan's debt is unfathomably large. According to the Bank of Japan (BoJ) the main state creditor, at the end of 2019 it stood at 1,328,000,000,000,000 yen.
🤔