Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha 7 trillion but workdone is equal to zero

Hivi huwa hamuoni aibu, yaani ingekua mimi ningekana uraia 😁😁😁
Am very proud Kenyan despite kwasabbu sisi huwa hatukosi kulipa deni letu kama nyie.Nchi hii ilivyobarikiwa and developed na watu wenye bidii,creative, innovative and smart nikane kwanini.A very proud to be Kenyan🇰🇪🇰🇪
 
A very proud looted Kenyan 😅😅😅

They robbed even your commonsense, pole 😂😂
 
nani atawakopa sasa hvi kila mmoja anawakimbia mchina kashawachinja baharini kilichobakia sasa hvi ni kuuza nchi kwa ppp projects 😂😂😂😂
Ulemavu wa kiakili.. Tena hadharani.

Mbona mchina anazidi kutukopesha? Ama uliskia mchina anakopesha project ya SGR pekee?

Nyinyi subirini muone kama bakuli mnayotembeza angalau litarudi na kakitu 😹😹

Isije ikawa mkulima kashika treni zenu kutoka Korea sababu ya kushindwa kulipa. Dawa ya deni ni kulipa 😹😹

Moody ratings za Kenya despite kuwa na deni kubwa hivyo ni far much better than ratings za Tanzania despite nyinyi kuwa na deni Kidogo kutuliko 😹😹😹
 
Hahahaha Japan inakopa kwenye central bank of Japan, ninyi Bank of Kenya haina hata pesa ya kununua officepins ndio iwe na pesa ya kukopesha serikali? 😁😁😁
Wewe internal borrowing uliskia ni lazima Iwe from Central Bank? Punguza ujinga.. Unadhihirisha udumavu/ulemavu wa kiakili.

Deni letu karibia NUSU inamilikiwa na benki za KENYA!! Nyinyi je? 😹😹
 
A very proud looted Kenyan 😅😅😅

They robbed even your commonsense, pole 😂😂
Kuliko nchi ya wajinga na vichaa.Yaani mlinyimwa ubongo
 
Attachments

  • Screenshot_20201020-175351.png
    Screenshot_20201020-175351.png
    32.2 KB · Views: 8
Am very proud Kenyan despite kwasabbu sisi huwa hatukosi kulipa deni letu kama nyie.Nchi hii ilivyobarikiwa and developed na watu wenye bidii,creative, innovative and smart nikane kwanini.A very proud to be Kenyan
Ngj keshokutwa hapo muuwane ndiyo uta proud vzr
 
Hawana pesa, ni kudanganywa eti wamejenga kwa pesa za ndani huku behind the scenes wanakimbiza bakuli from Turkey to China 😹😹

Hii uchina wanaodharau ndio wanawakopesha lakini MATAGA ni nani?
 
Attachments

  • 2595782_C1C2AF84-D6D9-4A5C-A8D4-B0331DCFE46C.jpeg
    2595782_C1C2AF84-D6D9-4A5C-A8D4-B0331DCFE46C.jpeg
    77.9 KB · Views: 5
Izi ni vitu normal na zimejaa uku Kenya but since ni third world naelewa it's a big deal to u guyz
Yn unaongea ww lkn aibu wanasikia Wakenya wenzako, na ndiyo maana tukasema Nairobi haina kitu ambacho Dar haina ila Dar Ina vingi ambavyo Nairobi haina ss mnataka battle gn hapo mbn ni unfair kabisa.
 
Ulemavu wa kiakili.. Tena hadharani.

Mbona mchina anazidi kutukopesha? Ama uliskia mchina anakopesha project ya SGR pekee?

Nyinyi subirini muone kama bakuli mnayotembeza angalau litarudi na kakitu 😹😹

Isije ikawa mkulima kashika treni zenu kutoka Korea sababu ya kushindwa kulipa. Dawa ya deni ni kulipa 😹😹

Moody ratings za Kenya despite kuwa na deni kubwa hivyo ni far much better than ratings za Tanzania despite nyinyi kuwa na deni Kidogo kutuliko 😹😹😹
huo sasa wivu yani kutangaza modern electric train zinatoka south korea mushaanza majungu 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom