Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Izi ni vitu normal na zimejaa uku Kenya but since ni third world naelewa it's a big deal to u guyz[emoji23][emoji23]
Katika hz picha nilizopost hamna hata kimoja huko kenya alafu eti mnataka battle ndo nn ss [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Yah mpk ss tumetumia 1% only ya akili na ndiyo tumefanya haya mambo ambayo hayapatikani East and Central of Africa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1606334View attachment 1606335View attachment 1606336View attachment 1606338View attachment 1606339
 
Ukweli unauma ahahahaa! Kibera boy sometimes learn to accept the truth coz it will make you free. A low speed (80kph) SGR kama yenu ni sawa na upgraded MGR yetu ambayo speed ni almost the same. Treni na Mabehewa ya hiyo SGR yenu ni sawa kabisa ya MGR yetu tena nadhani baadhi ya mabehewa ya MGR yetu ni mazuri zaidi. Pia SGR train zinazotumia dizeli katika karne hii ni sawa tu na MGR ya karne ya 20. By those facts you should humbly kneel down and accept the bitter truth you idiot!
Treni za uchumi wa kati sio ?

maskini ya Mungu refuebrished DMU [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

eeeeh Mungu tupe umri tuone mengi juu ya dunia hii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbe hata hujui maana ya refurbished jomba[emoji23][emoji23]
 
vitu vilivoagizwa mzee ni motoo from south korea brand new electric modern high speed train budaaa
Icho jana geza kashindwa kunieleza km hzo treni mlizoagiza ni design gani tuzichambue..
Manake katika habari niliona south korean firm tu, km ni ITX basi tujuzeni km ni model gani
 
Icho jana geza kashindwa kunieleza km hzo treni mlizoagiza ni design gani tuzichambue..
Manake katika habari niliona south korean firm tu, km ni ITX basi tujuzeni km ni model gani
Tz ina usiri mkubwa ktk kufanya mambo yake, usikute hili jambo hata viongozi wakubwa serikalini hawajui ni za aina gn.
 
dunia inakwenda mbele sio kurudi nyuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nendeni na wakat mchina kawatia vidole matakoni na reli mumeisusia maporini
Standard gauge railway nchi ikijenga ndio kurudi nyuma jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
We tena wajielewa, unafikiria ni kila nchi ina uwezi huo
 
Ukweli unauma ahahahaa! Kibera boy sometimes learn to accept the truth coz it will make you free. A low speed (80kph) SGR kama yenu ni sawa na upgraded MGR yetu ambayo speed ni almost the same. Treni na Mabehewa ya hiyo SGR yenu ni sawa kabisa ya MGR yetu tena nadhani baadhi ya mabehewa ya MGR yetu ni mazuri zaidi. Pia SGR train zinazotumia dizeli katika karne hii ni sawa tu na MGR ya karne ya 20. By those facts you should humbly kneel down and accept the bitter truth you idiot!
Pia MGR yenu inabeba double stack[emoji23][emoji23]
 
Hivi ninyi mna total debt of 7 trillion hamna chochote ambacho hakipo Tanzania, sisi wenye total debt la 2 trillion tulio na mengi makubwa msio nayo ninyi tukisema tukope angalau mpaka 4 trillion, hivi mtakaa kweli mtufukie?
Emu rudia tena..flyover mbili ndio zimekupa hicho kiburi tena moja ni donation kutoka japan[emoji23][emoji23]
Ama ni yale masoko ya donation mnayojengewa..
Mnafikiria hatujui km mnajengewa vitu km msaada hko kwenu
 
so now adays u compare developed country and developing country [emoji23][emoji23][emoji23]
Deni ni deni halitaki kujua km wewe ni nani, km wao ni wanaume walilipe kw mkupuo...
Tena kila baada ya mda linaongezeka mbna lisipungue[emoji23][emoji23][emoji23]

Marekani deni la china mpka leo anawaza atalilipaje, na u developed wao si waamke walilipe kesho uone
 
Back
Top Bottom