Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So benchmark yako ni Tony254 ? Congratulation to him for being your mentor[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]
Tony ana exposure kuliko ww na ndiyo maana huwa tunamlinganisha kdg na WaTz, unataka kujifananisha na tony ww, mwenzio ameona zile ni underpass ww ambaye hujawahi kutoka kenya hata mara moja unabisha.
 
na hii ya Mombasa dongo kundu port/SGR bypass? for the fourth time crumbling? Hiyo lami ni kama ina miaka kumi tangu ijengwe!

Ej3mG5pXcAAOzNG

Ej3mG5vXcAMingl

Cc komora096
 
Ndio maana nimesema wewe jamaa kichwa chako hakiko sawa
Hebu tuanzie hapa kwanza
View attachment 1599841
Bro ushajisumbua sana kutafuta all links lakini bado unafeli tu😂😂😂. Wewe unaleta link ya KENHA which only deals with one part of roads. This is how Kenya road ministry look like
Juu zaidi ni CS of Roads and Infrastructure.
Chini yake kuna Kenya Roads board- Hii body ndio iko na jukumu la kutoa all the combined data of Kenyan Roads
Chini ya Kenya Road Boards kuna branches kama, KENHA, KURA.KERRA and KWS.
KENHA only deals with Highway Roads.
KURA only deals with Urban Roads
KERRA only deals with Rural Roads.
KWS only deals with roads that are going parks, forests, lakes, etc.

Kila moja ya hizi branches za Kenya Road Board will release their data independently alafu the final results zinatolewa na Kenya Road Board. Sasa wewe kama umetuletea data za KENHA basi unataka maombi🤣🤣🤣🤣
 
Tony ana exposure kuliko ww na ndiyo maana huwa tunamlinganisha kdg na WaTz, unataka kujifananisha na tony ww, mwenzio ameona zile ni underpass ww ambaye hujawahi kutoka kenya hata mara moja unabisha.
Kama kukubaliana na ujinga zako ndio exposure basi heri nikose kabisa. Tangu lini bridge ikawa underpass?
 
na hii ya Mombasa dongo kundu port/SGR bypass? for the fourth time crumbling? Hiyo lami ni kama ina miaka kumi tangu ijengwe!

Ej3mG5pXcAAOzNG

Ej3mG5vXcAMingl

Repair works are being undertaken today in the morning at the Dongo Kundu bypass

IMG_20201013_150244_1.jpg

IMG_20201013_150232.jpg
 
Kama kukubaliana na ujinga zako ndio exposure basi heri nikose kabisa. Tangu lini bridge ikawa underpass?
Hehehehehe hapa ss Tony254 utasema nawachonganisha? Angalia huyu dada anakuita mjinga mchana kweupee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bro ushajisumbua sana kutafuta all links lakini bado unafeli tu😂😂😂. Wewe unaleta link ya KENHA which only deals with one part of roads. This is how Kenya road ministry look like
Juu zaidi ni CS of Roads and Infrastructure.
Chini yake kuna Kenya Roads board- Hii body ndio iko na jukumu la kutoa all the combined data of Kenyan Roads
Chini ya Kenya Road Boards kuna branches kama, KENHA, KURA.KERRA and KWS.
KENHA only deals with Highway Roads.
KURA only deals with Urban Roads
KERRA only deals with Rural Roads.
KWS only deals with roads that are going parks, forests, lakes, etc.

Kila moja ya hizi branches za Kenya Road Board will release their data independently alafu the final results zinatolewa na Kenya Road Board. Sasa wewe kama umetuletea data za KENHA basi unataka maombi🤣🤣🤣🤣
Pwahahahaa
Yaani umenichekesha sana. Umeanza kuzikataa barabara zenu!?

Kenya has a road network of about 177,800 km out of which only 63,575 km is classified.
 
Pwahahahaa
Yaani umenichekesha sana. Umeanza kuzikataa barabara zenu!?

Kenya has a road network of about 177,800 km out of which only 63,575 km is classified.
Maybe hujui meaning ya KENHA, here is the Meaning
KENYA
NATIONAL
HIGHWAY
AUTHORITY

KENHA will only release data za Highway an sio za nchi nzima.
 
Ss ikiwa Tony254 amesoma kuliko ww na amewahi kwenda nje ya kenya kupata exposure kilaza mtoto wa mama mkazi wa Kibera km ww ni nani uanze kumbishia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe unajaribu kunigonganisha mimi na Teargass lakini sitakubali hiyo maneno. Teargass amewapiga 10-0 ndio maana mnatafuta pa kutokea. Teargass endelea kufinya hawa Malazy.
 
Barabara wazitoe wapi, kuna siku mmoja wao alisema ukwel kuhusu sekta ya barabara jamaa walimwaga povu
Mwingine pia hapa juu anajaribu kulazimisha KENHA to be the overall body that stands for Kenyan roads 🤣 🤣 🤣
 
na hii ya Mombasa dongo kundu port/SGR bypass? for the fourth time crumbling?

Ej3mG5pXcAAOzNG

Ej3mG5vXcAMingl

Hivi una-undermine Engineering that is supposed to measure the soil properties ahead and come up with right solution sio? Mbona aliyejenga hii barabara hathubutu kufanya ujinga huu Tanzania!

na hapa je? the Kshs 3.1 bln runway for Isiolo international airport!

This chinese first class for duped Kenyans costed $3.8 bln!
sgr.jpg
Huo ni mchanga tu lkn barbara bado ipo imara jomba acha maneno mengi...
Na pia nimekuuliza swali sgr tangia ianze kufanya kazi lini imebomoka[emoji848][emoji848][emoji848]

Alafu dar kwasemaje, wape hi mamba na viboko
 
Back
Top Bottom