komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Nakumbuka ile siku ukitema povu mw yule mwenzenu aliyekiri ukwel[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna barabara Tz je huu ni ushuzi wako au?View attachment 1599864
Eti akae kimya asiongee
Nakumbuka ile siku ukitema povu mw yule mwenzenu aliyekiri ukwel[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna barabara Tz je huu ni ushuzi wako au?View attachment 1599864
Nimeshampa ukweli na orodha za barabara zote zilizopo Kenya hapo, yeye analeta mpaka Unclassified roads, barabara za kwenye mashamba ya Chai na kahawa za vumbi zipo included 😁😁😁😁naona umembaka mchana kweupe😂😂😂
Huyo hata nilimpuuza mimi, kwhyo ywadaidha akina KURA ni za tanzania sio[emoji23][emoji23]Mwingine pia hapa juu anajaribu kulazimisha KENHA to be the overall body that stands for Kenyan roads [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Sasa hapo unashangazwa na nn, au ni hzo solarHakuna barabara Tz je huu ni ushuzi wako au?View attachment 1599864
Huo ni mchanga tu lkn barbara bado ipo imara jomba acha maneno mengi...
Na pia nimekuuliza swali sgr tangia ianze kufanya kazi lini imebomoka[emoji848][emoji848][emoji848]
Alafu dar kwasemaje, wape hi mamba na viboko
Wacha kuniingiza katika battle yako na Teargass Yaani amekunyorosha hadi umeanza kunitajataja. Wewe nilikuita battle ya mabenki jana ukatoroka. Nilijua tu nitakupata humu ukijipiga kifua. Sitaki kukosana na Mkenya yeyote kwa hivyo wacha kunigonganisha na Teargass.Tony ana exposure kuliko ww na ndiyo maana huwa tunamlinganisha kdg na WaTz, unataka kujifananisha na tony ww, mwenzio ameona zile ni underpass ww ambaye hujawahi kutoka kenya hata mara moja unabisha.
Hata ndio nashangaa, mwingine pia ashafiak na Wikipedia 😂 😂 😂Huyo hata nilimpuuza mimi, kwhyo ywadaidha akina KURA ni za tanzania sio[emoji23][emoji23]
Huyo huwa akilemewa anaita usaidizi ama anaruka ka topic ingine.Wacha kuniingiza katika battle yako na Teargass Yaani amekunyorosha hadi umeanza kunitajataja. Wewe nilikuita battle ya mabenki jana ukatoroka. Nilijua tu nitakupata humu ukijipiga kifua. Sitaki kukosana na Mkenya yeyote kwa hivyo wacha kunigonganisha na Teargass.
Tena kaficha mpka tarehe ili nae aonekane anajua kufanya researchHata ndio nashangaa, mwingine pia ashafiak na Wikipedia [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ss mbn unabana pua, toa sauti isikike wacha kubana bana pua hapa.Acha shobo na waume wewe...
Au wewe ni "mwanamuume"?
Alafu ni kama umekuwa admirer wake, kwani jamaa ni guy au nini?🤣🤣🤣Wacha kuniingiza katika battle yako na Teargass Yaani amekunyorosha hadi umeanza kunitajataja. Wewe nilikuita battle ya mabenki jana ukatoroka. Nilijua tu nitakupata humu ukijipiga kifua. Sitaki kukosana na Mkenya yeyote kwa hivyo wacha kunigonganisha na Teargass.
achana nao hawa bro akili hakuna kichwani😂😂😂😂😂😂Nimeshampa ukweli na orodha za barabara zote zilizopo Kenya hapo, yeye analeta mpaka Unclassified roads, barabara za kwenye mashamba ya Chai na kahawa za vumbi zipo included 😁😁😁😁
Ukweli wote upo hapa na kila barabara ya Kenya ina jina, kama ana ubavu tuanze kuzitaja barabara moja baada ya nyingine kama huo ubavu anao 😁😁😁
View attachment 1599867
Badala wewe ndo ujifunze aisee ivi hawa watu ni vipi hamjui hata underpass so labda nikufundishe kwa picha maana Nairobi hakuna bridge.Toa ujinga hapa. Nenda ukajifunze tofauti ya bridge na underpass.
Kumbe ulishamsoma hata wewe, niliona umlimfanyia sana katika sekta ya barabara mpka akaanza ku post vitu havielewi..Huyo huwa akilemewa anaita usaidizi ama anaruka ka topic ingine.
Ndio ninareport sasa hivi. Kwa sababu umepost uharo ikabidi niipanguze.Na mbona huku-report humu? That was a record fourth time the retaining walls r collapsing! wait for the rainy season....
Wamejaribu kutafuta sites zote hile wapate current data lakini wanashindwa. The only current data ni zile za KNBS zenye hawataki kukubali.Tena kaficha mpka tarehe ili nae aonekane anajua kufanya research
Unabana pua dudu ilo apo limeshahabirika [emoji116][emoji116]Nakumbuka ile siku ukitema povu mw yule mwenzenu aliyekiri ukwel[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti akae kimya asiongee
Usharuka topic km kawaida yako[emoji23][emoji23]Ss mbn unabana pua, toa sauti isikike wacha kubana bana pua hapa.
Wasubirie tweet za wakenya basiWamejaribu kutafuta sites zote hile wapate current data lakini wanashindwa. The only current data ni zile za KNBS zenye hawataki kukubali.