Geza ana miaka anapost hyo picha, au we ndio umeanza kuiona leo[emoji23][emoji23][emoji23]Unabana pua dudu ilo apo limeshahabirika [emoji116][emoji116]
Hahahaaa alikimbia jana uyo ngoma ilienda mpk saa7 akatii amri.Kumbe ulishamsoma hata wewe, niliona umlimfanyia sana katika sekta ya barabara mpka akaanza ku post vitu havielewi..
Yani ywaruka ruk km malaya bikra vile
Wewe wacha ushamba. Wachana na mambo ya "classified". Wewe tuambie nyie mna lami kilomita ngapi? Sisi tuna 21,000 km. Nyie yenu ni ngapi?Kenya has a road network of about 177,800 km out of which only 63,575 km is classified.
Ndio mazoea yao.Wasubirie tweet za wakenya basi
Kawadanganye wanao[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa alikimbia jana uyo ngoma ilienda mpk saa7 akatii amri.
Umeuliza swali umejibiwa unataka nn?Geza ana miaka anapost hyo picha, au we ndio umeanza kuiona leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Huoni mwenzako hiko swali kalikwepa
Si kitambo jamaa ataleta post kutoka twitterNdio mazoea yao.
Kwani mimi ni mchawi ndio nikae macho mpaka saa saba? Mbona leo asubuhi Ulikimbia ukaanza kuokota picha za kitambo ?Hahahaaa alikimbia jana uyo ngoma ilienda mpk saa7 akatii amri.
😁😁😁😁 Uhuru na Jubilee inawalokota anafikiri na sisi atatulokota kama maembe, eti anasema kwenye international roads wana kilometers 40000 wakati Hakuna barabara ya lami ya kwenda Sudan, Somalia, counties zao 80% hazijaungwa kwa lami halafu kwenye utopolo wao inaonesha wana trunk roads 5k kilometres na 4k kilometers za national roadsachana nao hawa bro akili hakuna kichwani😂😂😂😂😂😂
Nyie mna lami kilomita ngapi? Weka ushahidi. Wacha maneno mengiNimeshampa ukweli na orodha za barabara zote zilizopo Kenya hapo, yeye analeta mpaka Unclassified roads, barabara za kwenye mashamba ya Chai na kahawa za vumbi zipo included 😁😁😁😁
Ukweli wote upo hapa na kila barabara ya Kenya ina jina, kama ana ubavu tuanze kuzitaja barabara moja baada ya nyingine kama huo ubavu anao 😁😁😁
View attachment 1599867
Kwahyo kumbe nilikuwa nakuharibia mipango yako ya kuwanga ndio maana ukaamua kukimbia kwenda kuwajambia jambia wenzako [emoji3][emoji3][emoji3]Kwani mimi nimchawi ndio nikae macho mpaka saa saba? Mbona leo asubuhi Ulikimbia ukaanza kuokota picha za kitambo ?
Ukweli ya Wikipedia? 🤣 🤣 🤣😁😁😁😁 Uhuru na Jubilee inawalokota anafikiri na sisi atatulokota kama maembe, eti anasema kwenye international roads wana kilometers 40000 wakati Hakuna barabara ya lami ya kwenda Sudan, Somalia, counties zao 80% hazijaungwa kwa lami halafu kwenye utopolo wao inaonesha wana trunk roads 5k kilometres na 4k kilometers za national roads
Huu si utopolo jamani 😁😁😁😁
Ukweli mchungu huu hapa View attachment 1599882
Si jamaa ajitetee kivyake mbona anakwama na mimi?Huyo huwa akilemewa anaita usaidizi ama anaruka ka topic ingine.
Nataka usikimbie you have 3 zonesAlafu ni kama umekuwa admire wake, kwani jamaa ni guy au nini?🤣🤣🤣
HelloooKwahyo kumbe nilikuwa nakuharibia mipango yako ya kuwanga ndio maana ukaamua kukimbia kwenda kuwajambia jambia wenzako [emoji3][emoji3][emoji3]
Hata ndio nashangaa, huwa hakosi kukutajatja hapa nikiargue nayeye.Si jamaa ajitetee kivyake mbona anakwama na mimi?
Wewe jamaa kwani uchoki?🤣🤣🤣🤣Haya nenda ukatafute mwaka ya hiyo screenshot na link alafu urudi tuendelee.
, 😁😁😁😁 reference zote zimetoka kwa wanaowapa mikopo ya kujenga hizo barabaraUkweli ya Wikipedia? 🤣 🤣 🤣