The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Kama unadhani mimi ndio nimetengeneza hiyo basi pole, that`s a screenshot from KNBS 2019 dataHahahaha labda kwenye ndoto, unakuja na takataka zako hapa hazina source, umekaa kwenye PowerPoint unafikiri wote tuna akili visoda kama wewe? 😁😁😁😁
Source kutoka kwenye Kenya Roads Board ipo kwa hewa, mna kilometers elfu 4 tu za lami kati ya kilometers 12k ambazo zinaonekana kama zina lami
In reality hata Burundi imewapita kwa kilometres za lami 😁😁😁😁
View attachment 1599486
Huyo ashalemewa hata nahisi ni kama anatamani kukimbia.Wivu utakuua kaka,hahahaha
Hz zote ulishapost juu nothing new, mm nmepost roads nyng mpya pia U/C cjagusa, ok bdae tutaendelea na vitasa now ngj niwajibike kujenga taifa langu nyie wenzangu hamna shida cz kodi pale kibera ni ksh50 per month mnapiga kelele humu jioni unaingia kwenye bati umemaliza wkt mm mwenzako nna mzigo wa majukumu so natakiwa ni work hard sn ok bdae aisee.
Nionyeshe anywhere nimepost hiyo barabara tofauti na hii moja ya leo. Ukinionyesha natoka jf for good.Hz zote ulishapost juu nothing new, mm nmepost roads nyng mpya pia U/C cjagusa, ok bdae tutaendelea na vitasa now ngj niwajibike kujenga taifa langu nyie wenzangu hamna shida cz kodi pale kibera ni ksh50 per month mnapiga kelele humu jioni unaingia kwenye bati umemaliza wkt mm mwenzako nna mzigo wa majukumu so natakiwa ni work hard sn ok bdae aisee.
Hahahaha hawa wakunya washenzi sana, eti kilometers 21k halafu wawe na barabara mbovu kiasi hiki?
Hakuna report ambayo ipo trustworthy zaidi ya hii iliorepotiwa kwenye gazeti lenu, kwanza in reality tu hamuwezi kuwa na hizo kilometres yet miji yenu 80% haina lamiKama unadhani mimi ndio nimetengeneza hiyo basi pole, that`s a screenshot from KNBS 2019 data
View attachment 1599501
Ss Teargass hyo road ina upya gn humu? Hyo road pia ni chafu mno km unabisha nikuletee hapa.Nionyeshe anywhere nimepost hiyo barabara tofauti na hii moja ya leo. Ukinionyesha natoka jf for good.
Hahahaha hawa wakunya washenzi sana, eti kilometers 21k halafu wawe na barabara mbovu kiasi hiki?
Hakuna report ambayo ipo trustworthy zaidi ya hii iliorepotiwa kwenye gazeti lenu, kwanza in reality tu hamuwezi kuwa na hizo kilometres yet miji yenu 80% haina lami
Leta map ya hizo tarmaced roads kama una ubavu
Hii hapaKati ya gazeti na KNBS gani ni credible source?
Hahahaha hawa wakunya washenzi sana, eti kilometers 21k halafu wawe na barabara mbovu kiasi hiki?
Hakuna report ambayo ipo trustworthy zaidi ya hii iliorepotiwa kwenye gazeti lenu, kwanza in reality tu hamuwezi kuwa na hizo kilometres yet miji yenu 80% haina lami
Leta map ya hizo tarmaced roads kama una ubavu
Hao wanahesabu mpaka vile vi-lane vinavyoingia kwenye Taasisi vyembambaaHuku ndipo walitaka pomba la mafuta la Uganda lipite!
Utahangaika lakini mwisho wa siku tutakubaliana tu.🤣🤣🤣🤣
KNBS - Economic Survey 2020
View attachment 1599518
Utahangaika lakini mwisho wa siku tutakubaliana tu.🤣🤣🤣🤣
KNBS - Economic Survey 2020
View attachment 1599518
Kwn hyo road ni mpya? Na mbn umepost kipindi cha upya wake? Weka picha yake halisi.Mbona unajichanganya? Ulisema nishapost hiyo road na nikikuambia unionyeshe penye nilishaipost before tena umechange tune![]()
![]()
![]()
![]()




Hiyo ni barabara that was marked recently, pole kama unaiona kama barabara mpya.Kwn hyo road ni mpya? Na mbn umepost kipindi cha upya wake? Weka picha yake halisi.
Road mmeshai vandalise gali watu wanapita hapo hapo![]()
Tanzania 12,000km of paved roads, Kenya 21,000km of paved roads.Primary roads
Secondary roads
Minor roads
Special purpose roads
Unclassified roads
Ndio utopolo gani huu?
Au ndio pavements za majumbani? 😁😁😁😁😁
Em naomba mjadala uanzie hapa sababu kumbe tatizo lipo hapa 😁😁😁😁
View attachment 1599522
Hamtakaa muwe na hizo barabara mpaka dunia inaingia kaburini, na Kenya haina mtandao wa lami zaidi ya kilometers 4000 huu ndio ukweli mchungu 😁😁😁😁Tanzania 12,000km of paved roads, Kenya 21,000km of paved roads.
View attachment 1599525
Angalia vile ustaarabu wenu ukoHiyo ni barabara that was marked recently, pole kama unaiona kama barabara mpya.



