Zipo page 400+ tuambie page ipi inaongelea barabara!?Link ndio hiyo, enda page 217 utapata data za paved roads in Kenya. Sasa post link yako
KNBS - Economic Survey 2020
Hiyo ni survey ya kiuchumi hakuna popote wameongelea barabara acha upumbavu.ichoboy01 nangoja link yako
hiii ndio source yako ulisoma ukatuliza ubongo wako😂😂👇👇👇Link ndio hiyo, enda page 217 utapata data za paved roads in Kenya. Sasa post link yako
KNBS - Economic Survey 2020
hajui even the meaning of unclassified roads hajui kabisa imagine and yuko hapa anajiita msomi😂😂😂😂Hiyo ni survey ya kiuchumi hakuna popote wameongelea barabara acha upumbavu.
Nikikuita fala nimekosea? Hujaona hapo juu penye nimesema page number? Nenda page 2017 utapata data za paved roads in Kenya.Zipo page 400+ tuambie page ipi inaongelea barabara!?
Makofi, makofi. Si umeona hapo 21,000km? Hiyo ndio sasa nilikuwa naongelea.hiii ndio source yako ulisoma ukatuliza ubongo wako😂😂👇👇👇
View attachment 1599823
hiii hapa 😂😂😂👇👇👇👇ichoboy01 nangoja link yako
Ondoa upumbavu wako hapa.Nikikuita fala nimekosea? Hujaona hapo juu penye nimesema page number? Nenda page 2017 utapata data za paved roads in Kenya.
21000 include unclassified ambayo sio paved road ww ni fala wa aina gani 😂😂😂Makofi, makofi. Si umeona hapo 21,000km? Hiyo ndio sasa nilikuwa naongelea.
Wewe ndio hujui ndio maana ulienda google kutafuta meaning. Mimi nilisema how I understand it.hajui even the meaning of unclassified roads hajui kabisa imagine and yuko hapa anajiita msomi😂😂😂😂
jamii forum imewaelimisha sana trust me sijawah kukutana na kilaza wa aina yake kama ww 😂😂😂😂Wewe ndio hujui ndio maana ulienda google kutafuta meaning. Mimi nilisema how I understand it.
Tuko 2020 sio 2018 😂 😂 😂 🤣
By the way, you are one of the dumbest guys around here.jamii forum imewaelimisha sana trust me sijawah kukutana na kilaza wa aina yake kama ww 😂😂😂😂
2020 hujui hata maana ya unclassified roads 😂😂😂 basi kazi ipo sana kwa kenyattaTuko 2020 sio 2018 😂 😂 😂 🤣
Angalia hiii table vizuri alafu uniambie hiyo unclassified that is not paved in iko wapi?21000 include unclassified ambayo sio paved road ww ni fala wa aina gani 😂😂😂
Tanzania, 12,000km za lami.
Kenya, 21,000km za lami