Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
ni balaa mkuu
ni balaa mkuu
Kando na hyo red hill road ambayo udongo wake ni mwepesi tuonyeshe na zingine basi za wachinaipi hii
Another "first class" by the Chinese, this time Waiyaki Way-Red Hill Road
ambayo walibisha mpaka saa hii Senate imeingilia kati?
Shoddy Chinese first-class roads in Kenya to be scrutinised


nilitoka australia kuelekea visiwa vya comoroHiyo njia ulipita ukitoka wapi na unaenda wapi, ebu tudanganye
Hyo barabara ukipita na subaru unajiskia uko japanMungu saidia watanzania, sasa hii ni kitu quality?![]()
![]()
. Chukua hii hapa unyamaze.
View attachment 1599176View attachment 1599177
Haya turn right urudi Algeria,nilitoka australia kuelekea visiwa vya comoro
Bwahaha!!ni barabra au ni ulimi jamaniWakenya tazama roads za elite people vile zinakaaView attachment 1599189View attachment 1599190View attachment 1599191
We unaongelea past tense na wakati dar sai mamba wanaogelea..Ofcourse hamna shoddy work kama hii!
Kando na hyo red hill road ambayo udongo wake ni mwepesi tuonyeshe na zingine basi za wachina
Au unaogopa kuleta
Hatuhitaji thread kibao kuongelea jambo lileleHizo picha zako mpya mpya ongeza kwa hiyo thread. Ukipost ntakufuata huko.
Mnacheza mule mule kw read hill



Pitia hii thread.Hatuhitaji thread kibao kuongelea jambo lilele
Wewe umeleta ripoti ya barabara za kenya.
Umetuonesha idadi ya barabara zenu kwenye makaratasi. Sasa tunataka tuone katika real world.
Bado hatujakuletea
Dar es Salaam Metropolitan Development Project (DMDP)
Underpass
Mchina kaisha wapoteza tiyali chukua pillars za render yake na izo anazo jenga ni tofauti...🤣🤣🤣From single pillar to double pillars...najua mtakuwa mmeelewa Mchina anakwepa Nini..🤣🤣🤣Hii project haitokuja kuendana na render...Kwa sababu ipo chini ya uwangalizi wa China...Vyovyote vile wanaweza kuibadili render wanavyotaka....Nitazidi kuwaabalisha mabadiliko...Nakwa taarifa alitokuwa na kilometer zaidi ya tatu....🤣🤣🤣Ndipo mtajua kuwa wa Tanzania ni wachawi🤣🤣🤣
Jamaa wanajifurahisha na read hill roadNangoja alete tuone ni ya mwaka gani


