Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yani hawa watu ni wakuwahurumia bado wana ushamba sana
Na bado hata ilani haijaanza kutekelezwa, ndani ya miaka miwili ijayo tunakua na biggest arena in Africa
Screenshot_20201011-194823.png
 
Mnaruhusiwa kununua humanitarian supplies kama mahindi, mchele na vitunguu! Dhahabu si league yenyu!

Jaguar kaufyata baada ya kuona ubabe wa Tanzania kwenye suala la corona na ufungiaji wa KQ!
Mbona duale alipoliongelea hilo swala bungeni hamkujibu
 
umawazimu wa kichwa ww fungua hii video alaf uongee tena[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23]

Hawa kwenye finishing ndo huwa tunawabaka, we subiri atabaki kuruka ruka km kwenye ile new modern University ambayo ulimwambia alete ya kenya inayokaribiana na ile kashindwa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom