ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
nasema siku mutapata uni yenye hadhi hii mm nafunga acc jamii forum mark my wordsNimekuambia hakuna kitu cha maana hapa, hii ni level ya Primary School.
nasema siku mutapata uni yenye hadhi hii mm nafunga acc jamii forum mark my wordsNimekuambia hakuna kitu cha maana hapa, hii ni level ya Primary School.
nasema siku mutapata uni yenye hadhi hii mm nafunga acc jamii forum mark my words
Wapi wikipedia hapo?na hiii kwann ulitoa kwanza😂😂👇👇👇
View attachment 1596996
Mi unajua nashindwa kuwaelewa Wakenya ukiwakuta twitter wanajitamba kwamba ni capitalists and nothing to show off as far as capitalism is concerned!and this is primary school in dar👇👇😆View attachment 1596981
wallah nakuhapia hamutakua na university yenye hadhi hii in 20yrs time mark my words 😂😂😂😂😂Hadhi ya Primary School? Kwa kweli hiyo hata huezipata kule Somalia 😂 😂
Dar only 10 buildings above 100m, Nairobi has 18.hukupost hii wewe??👇👇👇
List of tallest buildings in Tanzania - Wikipedia
according to u, bila kusahau zile tower zenye minara juu 😂😂😂 yani meters inaongezwa na mnaraDar only 10 buildings above 100m, Nairobi has 18.
Dar es Salaam
Hata 100,000 years to come hatuezikuwa na hiyo kitu kinafanana na Primary School.wallah nakuhapia hamutakua na university yenye hadhi hii in 20yrs time mark my words 😂😂😂😂😂
Not according to me but according to what`s on the ground. Are you aware that right now there is no Tanzanian building in the top 10 tallest buildings in Africa?according to u, bila kusahau zile tower zenye minara juu 😂😂😂 yani meters inaongezwa na mnara
over 35floors ulikimbia humu ndani 😀😀
uhehehe universitu umekosa mzee 😂😂 umebakia kurusha mapovu juuHata 100,000 years to come hatuezikuwa na hiyo kitu kinafanana na Primary School.
Afya yao ilikuwa inasifika ile ya kibinafsi..public hawatoboi mpaka yesu ashukeKwenye afya kenya kidogo mutuache. Mlikua zamani sio sasa.
over 35 ilikutoa kamasi humu ndani 😂😂 bado dar inakusumbua kichwa chakoAre you aware that right now there is no Tanzanian building in the top 10 tallest buildings in Africa?
We mkunya si ulete University yenu bora kuliko hiyo mbona unalialia hovyo? 😁😁😁Nimekuambia hakuna kitu cha maana hapa, hii ni level ya Primary School.
Hizo over 35 are nowhere to be found among the top 10 tallest buildings in Africa.over 35 ilikutoa kamasi humu ndani 😂😂 bado dar inakusumbua kichwa chako
akileta kama hio mm nafunga acc hamutaniona tena 😂😂😂😂We mkunya si ulete University yenu bora kuliko hiyo mbona unalialia hovyo? 😁😁😁
uhehehehe utakuta ile yenye minara au sio 😂😂😂😂😂Hizo over 35 are nowhere to be found among the top 10 tallest buildings in Africa.
Hiyo ni size ya Primary School na ndio maana nimepost picha za Primary School hapa. That thing can`t even match most Secondary schools in Kenya.We mkunya si ulete University yenu bora kuliko hiyo mbona unalialia hovyo? 😁😁😁