Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fukuzeni muone moto utakavyowachoma, umesahahu kuhusu ndege zenu tulivyozuia?, hatujaribiwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jaguar alisema ukweli. Yaani ninyi mnataka kuja huku kuuza vitu vyenu na hamtaki sisi kununua madini huko kwenu? Huoni kama kuna ubaguzi hapo? Halafu najua mnawakubalia Wazungu waje huko Geita kununua dhahabu.
 
Mnaruhusiwa kununua humanitarian supplies kama mahindi, mchele na vitunguu! Dhahabu si league yenyu!

Jaguar kaufyata baada ya kuona ubabe wa Tanzania kwenye suala la corona na ufungiaji wa KQ!
 
Jaguar alisema ukweli. Yaani ninyi mnataka kuja huku kuuza vitu vyenu na hamtaki sisi kununua madini huko kwenu? Huoni kama kuna ubaguzi hapo? Halafu najua mnawakubalia Wazungu waje huko Geita kununua dhahabu.
Hamkututhamini wala kutusaidia wakati tunapitia kipindi kigumu sana cha uchumi tulipobeba jukumu la kuzikomboa nchi za Africa kitendo kilichowakasirisha wazungu na kuamua kutuwekea vikwazo baridi ili uchumi wetu usambaratike, Kenya mlikua Mnakunywa Wines na wazungu, iweje sasa hivi mambo yetu yanaanza kupendeza mnataka kuja kushiriki matunda ya jasho letu. "If you were away during my struggle, don't expect to be around in my success"[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii 11km overpass itakuwa moto walai
Screenshot_20201009-090921~2.png
 
Jaguar alisema ukweli. Yaani ninyi mnataka kuja huku kuuza vitu vyenu na hamtaki sisi kununua madini huko kwenu? Huoni kama kuna ubaguzi hapo? Halafu najua mnawakubalia Wazungu waje huko Geita kununua dhahabu.
Sio hilo tu,tulikubaliana kwenye utalii kwamba Kenya unaweza kuja na gari zao wakachukua watalii TZ ,na Tanzania inaweza kwenda Kenya kuchukua watalii,lakini Sisi tuliwapiga marufuku kuja huku,Ila Sisi tulikua tunakuja kuchukua watalii huko,hilo halikuumi?
 
Jaguar alisema ukweli. Yaani ninyi mnataka kuja huku kuuza vitu vyenu na hamtaki sisi kununua madini huko kwenu? Huoni kama kuna ubaguzi hapo? Halafu najua mnawakubalia Wazungu waje huko Geita kununua dhahabu.
Nawewe kuaga na akili muda mwingne alokwambia wakenya hawanunui madini nani? Wanaonunua kwa kufuata sheria na kulipa kodi wananunua tuu hakuna shida..
Tatzo lenu mlizoea kuja kununua ki magendo

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Jaguar alisema ukweli. Yaani ninyi mnataka kuja huku kuuza vitu vyenu na hamtaki sisi kununua madini huko kwenu? Huoni kama kuna ubaguzi hapo? Halafu najua mnawakubalia Wazungu waje huko Geita kununua dhahabu.
Usilie jirani njooni tu ili mradi mfuate taratibu na kanuni za nchi ,Tz ni njema atakaye naaje.
 
Una license? Ukikamatwa zikataifishwa ukasekwa jela, wakenya wenzio watasema Tanzania tuna chuki na Kenya.

ndo maana tuna-deal nao na humanitarian commodities yaani unameza leo in a day unatoa pande nyingine then unakuja tena kununua a befitting ones u feed "ili maisha pande yao isonge"! Kenyans r too poor to get involved in this kind of business!
 
Back
Top Bottom