Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Angalia ulivyo mjinga, umepewa ghorofa 17 umetoa kasoro ghorofa 5 na bado unasema zinabaki 10 yn ww dada ni mkenya halisi kabisa and I can bet hujaolewa na hutokaa uolewe mana una roho ya ajabu kabisa purely Kenyan woman.
Mjinga ni wewe, Umoja wa vijana ilikuwa times two alafu pia alikweka na pia akaweka na Viva tower which is 72m. Zote zikiwa combined zinakuwa 7.
 
Venye tu Ikulu ya Machakos ni nzuri kupita ikulu ya Tanzania.
The difference[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1587025867496.jpeg
tapatalk_1587036251426.jpeg
tapatalk_1587036220824.jpeg
tapatalk_1587036200013.jpeg
 
walikua wanaulizia arena ya dar jibu wanalo sasa😀😀👇👇👇


🤣🤣🤣🤣🤣 Acheni jokes bana, sasa tangu lini tents za matanga zishaikuwa arena? East Africa only have two indoors arenas, ya Kigali na ya Nairobi.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Acheni jokes bana, sasa tangu lini tents zishaikuwa arena? East Africa only have two indoors arenas, ya Kigali na ya Nairobi.
ww sijui mtu wa wapi unaushamba sana nenda na wakati dunia imebadilika kabisa
 
Back
Top Bottom