Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Venye tu Ikulu ya Machakos ni nzuri kupita ikulu ya Tanzania.
hiii ni jengo la halmashauri imagine👇👇
3079D7D4-1EC2-411E-8045-93CD6D5CE5ED.jpeg
20FD3027-3A17-4953-8F08-58EBA1C3CB5D.jpeg
 
Kweli kabisa mkuu na nimekuwa nikiwaomba WaTz wenzangu humu tuwe na utaratibu wa ku publish hz mambo ili iwe wazi, mfano ubungo interchange ni 3level na iko pekeake East and Central of Africa lkn tutakaa kmy yn tunapotezea wangekuwa hawa jamaa tusingelala humu but nowadays WaTz wapo serious kupambana na hawa wajinga walioharibu mitandao kwa kujisifu uongo mpk baadhi ya WaTz waliamini uongo ila now wameanza kuwajua vzr hawa [emoji205][emoji3][emoji3]
Alafu kuna wapuuzi humu utakuta wanasema tumeshiba propaganda
 
Back
Top Bottom