The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Au hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1596925
This tower naipenda sana,so huge
Au hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1596925
This tower naipenda sana,so huge
Au hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1596925
This tower naipenda sana,so huge
Wewe unaijua Dar ya wakati ule ukifanya biashara haramu pale Uwanja wa Fisi...njoo saa hivi uone.Hio dar-Slum ni safi sasa vile naijua.Dar is the dirtiest City in East Africa duh!
Mbona unatumia picha za zamani yakhe? Kitu kimekamilika siku nyiingi!Vipi inakaribia hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1596933
Mazao yanatoka Direct kwenue mashamba asubuhi na mapema...unakula kitu freshi na wala sio hayo ya kusindikwa.na kama tuna masoko mazuri, kwann tuhangaike na kuwa na malls nzuri?
Enjoy your day, hakuna battle hapa tunajichosha tu.View attachment 1596925
This tower naipenda sana,so huge
Nimegundua tunajichosha tu, jamaa kelele nyingi kwa ground vitu ni different ngj niendelee shughuli zangu mie.Mbona unatumia picha za zamani yakhe? Kitu kimekamilika siku nyiingi!
![]()
![]()
Asante Mkuu..enzi hizo kufimbo cheza angewashulikia.Watu kama nyie mnaboa sana kwa uandishi kama huo. Sasa ina tarakimu nne tu mzee baba ata kama ni utoto basi jua unaboa
Wewe mbuzi huezinifundisha anything kuhusu kingereza."Your have a squared stupidity" duh kamwe sijawahi ona hii aina ya broken,halafu we jamaa ni kilaza sana as i have been telling you since day one
Mbona mnapenda uongo?1.Tpa 157M
2.pspf I 153M
3.pspf II 153M
4.PPF Tower 150M
5.MNF TOWER 140M
6.RITA TOWER 117M
7.UHURU HEIGHT 127M
8.MZIZIMA TOWER I 140M
9.MZIZIMA TOWER II 130M
10.MIllenium Tower 107M
11.Umoja wa Vijana I 102M
12.Umoja wa vijana II 102M
13.NSSF Tower Ilala 105M
14.Morroco square I 100M
15.Sky Tower 100M
16.Viva Tower I 100M
17.Benjamini Mkapa tower 100m
Neck- Neck
ni nomaFrom Nyerere bridge Kigamboni
Dar kama Dar
View attachment 1596789View attachment 1596790View attachment 1596791
Hakuna tofauti na hii.Au hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1596938
Venye tu Ikulu ya Machakos ni nzuri kupita ikulu ya Tanzania.Ukizungumzia buildings hata Ubungo Municipal council ni nzuri kupita ikulu ya kenya
Wow,Kazi ya Heshima.Best thing ever
wikipedia is ur source???😀😀😀Mbona mnapenda uongo?
Umoja wa vijana ni 95m
Sky tower ni 82m
Morroco Squire ni 88m
NSSF ni 72m
Benjamin Mkapa Tower ni 82m
Hizi zikitolewa mnabaki na 10 buildings of 100m+
List of tallest buildings in Tanzania
Waipite waende wapi[emoji23][emoji23]Kuna watu wanapambana kuipita Tanzania eti? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
View attachment 1596117
walizingua....kwa kweli
Hakuna haja nikuletee Uni ya Kenya kwa sababu hamuezani nayo. This public Primary School is enough to do the job.maneno mengi hayakusaidia naomba uniletee uni ya kenya yenye hadhi hio ukipata let me know full stop