Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Msemaji mkuu wa serikali ni hovyo sana. Eti serikali imekusanya kilo 497 ya nini? Mbona hajaelezea ni kilo za nini zilizokusanywa?
Hovyo ni wewe unayemsingizia msemaji mkuu wa serikali.Msemaji mkuu wa serikali ni hovyo sana. Eti serikali imekusanya kilo 497 ya nini? Mbona hajaelezea ni kilo za nini zilizokusanywa?
Sio msemaji wa serikali huyoMsemaji mkuu wa serikali ni hovyo sana. Eti serikali imekusanya kilo 497 ya nini? Mbona hajaelezea ni kilo za nini zilizokusanywa?
Jibu swali. Anamaanisha nini akisema kilo 497? Ni kilo za nini? Maembe au Ndizi au dhahabu?Hovyo ni wewe unayejifanya kumjua msemaji wa serikali.
Ni mradi mzuri. Serikali ndio inanunua hio dhahabu?Sio msemaji wa serikali huyo
Actually ni kilo za dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo, so last month billion 63 zimeingia mifukoni mwa wachimbaji wadogo
Kenya Kuna biashara ya kumuingizia wakenya wa kawaida kwenye County 1 Billion 63 ndani ya week 4? Ndio maana Tanzania Ina dollars millionaires wengi ukanda na inclusive economy
Hehehehehe mkuu huwa unawaudhi sn Wakenya mana unawapiga directly wala huzunguki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sio msemaji wa serikali huyo
Actually ni kilo za dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo, so last month billion 63 zimeingia mifukoni mwa wachimbaji wadogo
Kenya Kuna biashara ya kumuingizia wakenya wa kawaida kwenye County 1 Billion 63 ndani ya week 4? Ndio maana Tanzania Ina dollars millionaires wengi ukanda na inclusive economy
Serikali imeweka masoko na kusimamia mfumo mzima wa uuzaji na ununuzi, serikali yenyewe inakata kodi yake basi ila wanunuzi ni watanzania ambao wananunua na kupeleka Dubai, Qatar etcNi mradi mzuri. Serikali ndio inanunua hio dhahabu?
Hapo kiukweli kakosea alitakiwa aseme ni kilo za nn za unga au almasi au za nn, but kwa cc huku kwetu inapotajwa Geita tunakuwa tushaelewa.Jibu swali. Anamaanisha nini akisema kilo 497? Ni kilo za nini? Maembe au Ndizi au dhahabu?
Sisi watanzania tunafahamu Geita kuna dhahabu, kwa hiyo jamaa alieleweka.Jibu swali. Anamaanisha nini akisema kilo 497? Ni kilo za nini? Maembe au Ndizi au dhahabu?
Tunatwanga panapouma 😅😅😅Hehehehehe mkuu huwa unawaudhi sn Wakenya mana unawapiga directly wala huzunguki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwakweli Wakenya hawakutegemea kabisa km ingekuwa hv[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tunatwanga panapouma [emoji28][emoji28][emoji28]
Kenya na Ethiopia zinasambaratika kwa kasi ya ajabu.
Wewe msemaji wa serikali anakuhusu nn kama Mkenya?Msemaji mkuu wa serikali ni hovyo sana. Eti serikali imekusanya kilo 497 ya nini? Mbona hajaelezea ni kilo za nini zilizokusanywa?
Hata mimi basi nitakuja huko kununua dhahabu.Serikali imeweka masoko na kusimamia mfumo mzima wa uuzaji na ununuzi, serikali yenyewe inakata kodi yake basi ila wanunuzi ni watanzania ambao wananunua na kupeleka Dubai, Qatar etc
Wakenya hawaruhusiwi kununua madini TanzaniaHata mimi basi nitakuja huko kununua dhahabu.