Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kama mall ndiyo kigezo cha kuwa juu duniani hongereni sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Malls are one of the economic indicators of a certain country. An increase in the number of malls signifies an increase in spending capabilities of individuals in a certain country.
 
Labda ni kweli Nairobi kuna Malls nyingi klk Dar, lkn ukweli ni kwamba hakuna mall nzuri Nairobi kama Mlimani City, na nimefika malls karibia zote kubwa Nairobi, Mlimani City haina mfano kwa uzuri na ubora wa kila kitu, ...
Wewe umerogwa wewe
 
Wewe ni mjinga wa hali ya juu....Kwa iyo Nakumati na Tuskys anapofunga maduka yake unatuambiaje...?? Kuna watu uko Kenya wanakosa kupata bidhaa...??? Wewe Ni zero brain kabisa....🤣🤣🤣
Nakumatt is not a mall and Tuskys is also not a mall.
 
Sijafika Nairobi lakini bado sijaamini kauli yako
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Wewe umerogwa wewe


Nitajie Mall moja ya Nairobi halafu tuilinganisha na M.City kwa kila angle, ...
 
Ww kwel umechanganyikiwa na wazungu,yan wamekutawala kimwil hadi kiakil, yan ww mtu mweusi tii kama mkaa ety unajisifu kuongea kiingereza ndio maana mm huwa nasema wakenya wengi n washamba ona sasa unachoongea c ulimbukeni huu....
Jamaa anajisifu kuongea kingereza...🤣🤣🤣 Alafu anakula githeri..🤣🤣🤣 Mimi huwanasema wa Kenya Ni zero brain..
 
Haifikii hata nusu ya Mlimani City, Mlimani City ni total package, nilifika Sarit center kule ka Wahindi Nairobi na haikuwa test yangu, ...

Haifikii hata nusu ya Mlimani City, Mlimani City ni total package, nilifika Sarit center kule ka Wahindi Nairobi na haikuwa test yangu, ...
Weka picha ya milimani hapa, mbona unaogopa?
 
Back
Top Bottom