Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Natumia uhuru wangu wa kujieleza mkuu sikulazimishi ukubaliane na mimi wala huwezi kunipangia nikae kimya.
Hakuna mtu aliyekupangia ila km ww ulivyotuambia nami pia nmetumia uhuru huo huo kukuambia cz cjatumia lugha chafu but km imekuuma basi yale maneno yako pia jua kuwa yanaukakasi, btw tuachane na hii mada.
 
Kwa mambo za malls sahau kabisa. Usiwahi nitaja kwa hizo vitu za 2,000m2
vitu kama hvi mutazipata yesu akishuka 😂😂😂👇👇👇👇
5B248BC6-56B2-4091-BBEA-71B2F7BB6811.jpeg
E4E8E872-2438-4BA2-ADC5-D320F949A08D.jpeg
592B3CB2-F744-4F28-A663-29D703BF56BD.jpeg
 
Attachments

  • FB_IMG_1600768729477.jpg
    FB_IMG_1600768729477.jpg
    25.4 KB · Views: 9
  • FB_IMG_1600768729477.jpg
    FB_IMG_1600768729477.jpg
    25.4 KB · Views: 9
That's not a mall, hiyo ni size ya retail store in Kenya. Ikiletwa Kenya inakuwa supermarket.
Wakenya hawajawahi kukubali chochote kinachofanywa na Tz hata kama viongozi wao wanaonesha dhahiri shairi kutaka kujifunza kutoka Tz lkn Wakenya wa humu hawakubali, ss nashangaa WaTz wa humu kuleta Shobo na kujifanya wapo fair, fairness gn unatuletea humu? Hatutakuelewa kabisa cz hao unaowapa credit wao hawakupi hata ufanye nn ss hii ndo nn?

WaTz wacheni kuturudisha 60s miaka ambayo WaTz wengi walikuwa na roho ya utu ambayo imepelekea leo cc watoto zao tuishi mazingira km haya, hawa jamaa ni wakuwakataa kivyovyote vile hawafai kabisa na hawapaswi kusifiwa kwa chochote kile cz hata wao hawako fair na ni washenzi kabisa na hawaitakii mema nchi yetu.

Mm nikiona mTz anasifia kenya kivyovyote vile namuona km msaliti na anayejipendekeza kwa mijitu isiyo na shukurani.

Wacheni mambo yenu bhn, kwn Wakenya wa humu Jf hawajui km tunaenda kwenye right direction? Mbn hawasifii, je hawajui km serikali yao imejaa ufisadi? Mbn hawakubali, ss ninyi WaTz mbn mnaleta utanzania wenu wa 1960s wacheni mambo yenu bhn.
 
Why are crying?
 
Back
Top Bottom