Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usafi wa Kila mwisho mwezi unaanza huko Kama ilivyo TZ,kuiga si mbaya jirani


Tunaiga Wanyarwanda. Hatuwaigi ninyi. Ninyi pia mliiga Wanyarwanda. Rwanda ndio walianzisha mfumo huu wa kuosha mji mara moja kwa mwezi hapa Afrika.
 
Yaani nyie mna mall moja tu inayoitwa milimani city. Haki mnatuangusha sisi wana Afrika Mashariki. Hata Uganda kanchi kadogo kana malls nyingi kuwashinda. Halafu hapa Afrika, Afrika Kusini pekee ndio imeshinda Kenya kwenye idadi ya malls. Kwa hivyo hapa hakuna battle na sitakubali kupigana battle ya malls na nyie.
duuuh.....!!!! dar kuna mall moja......?

asante sana ,endelea kujidanganya mkuu
 
Fungueni hiyo mall angalau muwe na malls mbili? Hehehe.
Kumbuka apo sio moja ni mbili iyo ya mwisho ni Aura mall sasa ww lialia tu....alafu akuna ambayo haijafunguliwa so tulia
2539858_tapatalk_1600196526896.jpg
View attachment 1595542
 
Back
Top Bottom