The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Hata cc ile mgr ambayo inafanana na sgr yenu tumechukua muda mfupi kuikamilisha.Sisi tulichukua miaka mitatu kujenga phase one. Yenu ni 200 km phase one na mumeshindwa kuimaliza chini ya miaka mitatu.